Doctor Ngariba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2020
- 588
- 951
- Thread starter
-
- #41
Wezi sana hawa.Kuna siku nilikuwa nina uhakika kabisa pesa niliyompa ni 1M ila akajifanya nimempa 980K.
Tokea hapo nikimpa teller hela ninakodoa macho ipasavyo.
Ni kweli ila hazitumiki kama unavyotuaminisha hapa.Zaidi ya 80% huduma zote za kibenki zinapatikana mkononi mwako na mtaani kwa mawakala
Mkuu bulk maanake si ni pesa ndefu,?Kwa NMB na benki nyingi
Mtu wa BULK (mzigo mkubwa) hawezi kaa foleni dirishani kwa teller
Wana mlango wao maalum huingia kuhudumiwa na kuna kiti unakaa unahudumiwa.
Vipi kwa wanao withdraw? Mkuu NMB wanakera sana na kuhusu hao merchants siyo wote wanafloat/cash za kutosha. Hizo mob apps/simbanking zinalimit ndio maana watu huenda bank.Kwa NMB na benki nyingi
Mtu wa BULK (mzigo mkubwa) hawezi kaa foleni dirishani kwa teller
Wana mlango wao maalum huingia kuhudumiwa na kuna kiti unakaa unahudumiwa.
Kwani ukifanya biashara na serikali au kuwa mtumishi wa serikali lazima uwe na akaunti NMB?Wengine ni watumishi wa serikali na wengine wanafanya biashara na serikali hivyo kuwa na account NMB ni muhimu.
Jamaa pale kaongelea million 200.Mkuu bulk maanake si ni pesa ndefu,?
Leo kwa macho yangu jamaa anajichukulia wastan 50m kwa teller au 50 siyo bulk?
Mkuu umeongea ukweli ila jamaa anajifanya haelewi!Vipi kwa wanao withdraw? Mkuu NMB wanakera sana na kuhusu hao merchants siyo wote wanafloat/cash za kutosha. Hizo mob apps/simbanking zinalimit ndio maana watu huenda bank.
Mkuu hata bulk kuna foleni. Hao wanaotetea hawaelewi kitu. Na huko ndio chanzo cha foleni za wateja wa bank. Mtu anaedeposit kupitia muhudum wa bulk anakula muda balaa. Maana hela zinapangwa then wanaanza kusort ndio zinahesabiwa. Kusort kunachukua muda balaaMkuu bulk maanake si ni pesa ndefu,?
Leo kwa macho yangu jamaa anajichukulia wastan 50m kwa teller au 50 siyo bulk?
Hajui kitu. Utakuta yupo PT(Field) pale NMB. So anajidai mjuaji kumbe hajui kitu.Mkuu umeongea ukweli ila jamaa anajifanya haelewi!
Tufanye hilo ameshinda atuletee viti basi au napo wateja wanahudumiwa mtaani?
kwa nini usilipe kwenye simu au wakala?Nilienda kulipia malipo ya serikali ni bank ambayo iko karibu nami
[emoji3][emoji3][emoji3]Kuna siku nilikuwa nina uhakika kabisa pesa niliyompa ni 1M ila akajifanya nimempa 980K.
Tokea hapo nikimpa teller hela ninakodoa macho ipasavyo.
msichokielewa kwake ni nini?kuhusu bulk desk?mbona hiyo ipo hivyo iwe kuchukua au kuweka? ukiona mtu anachukua pesa ndefu kwa teller ni kujitakia tu,dirisha lipo!Hajui kitu. Utakuta yupo PT(Field) pale NMB. So anajidai mjuaji kumbe hajui kitu.
Mkuu umeongea ukweli ila jamaa anajifanya haelewi!Vipi kwa wanao withdraw? Mkuu NMB wanakera sana na kuhusu hao merchants siyo wote wanafloat/cash za kutosha. Hizo mob apps/simbanking zinalimit ndio maana watu huenda bank.
Mkuu hii njia ya wakala kwangu ni second option.kwa nini usilipe kwenye simu au wakala?
NMB Buzuruga wana huo mtindo, unakuta teller mmoja tu ndio anahudumia lakini madirisha mengine yote yamefungwa.Mambo vp wakuu,
Nmb acheni ushamba na uzee!!!
1.Hivi kwa dunia ya leo yenye furniture za bei chee mnashindwa hata kuweka utaratibu wa wateja wenu kuketi kwenye viti wakiwa wanasubiri huduma?Hebu jifunzeni kwa wenzenu na mtambue kuna baadhi ya wateja hawawezi kusimama kwa mda mrefu.
2.Huu utaratibu wenu wa "TEMPORARY CLOSED" kwa bank teller wenu ni fasheni au ndo kwa kuwa mna wateja wa kutosha?
Yaani madirisha 6 ya teller manne TEMPORARY CLOSED mawili tu yanafanya kazi??? Na hili siyo mara moja labda tuseme dharura lakini ndo utaratibu wenu.
Acheni hizi tabia mnaboa mno!
Povu ruksa hata hivyo nitakuja kuongezea makandokando yenu mengine.
Kama wamechemka wafunge biasharaNMB Tanzania matawi ya Mandela road na Mlimani city yamezidi kwa upuuzi huu
Ni sawa. Lakini tozo ndilo lililotukimbiza toka huko tukarudi tena kujipanga mistarini ili walau tupate tuela twingi twa mboga.Huduma za kibenki zimehamia mtandaoni na mitaani.
Mawakala kila Kona, Unaweza kuhamisha miamala Kwenye simu,Unaweza kufanya direct transfer bank to bank mwenyewe.
Kwayo
Haina haja ya kua na utitiri wa TELLER ndani ya benki
Sio lazima ila ni muhimu rafiki, Serikali ikupe kazi yao halafu haubenk na benk yao, we unakuwa sio "nzalendo" If you know what i mean. So huwa tunajitahidi tuwe na account za bank zingine na NMB ikiwemo.Kwani ukifanya biashara na serikali au kuwa mtumishi wa serikali lazima uwe na akaunti NMB?
Ulipata namba mkuu. Nipatie namba mbili za mwisho.msichokielewa kwake ni nini?kuhusu bulk desk?mbona hiyo ipo hivyo iwe kuchukua au kuweka? ukiona mtu anachukua pesa ndefu kwa teller ni kujitakia tu,dirisha lipo!
Mf. mimi juzi kati nimeend kuchukua 20m kwa teller wakati najua kuna bulk desk,lakini nilikuwa nafukuzia namba ya teller tu
M200 huwezi wekwa kwenye mstari mna sehemu zenu maalumuInawezekana unachozungumza ni kweli ila tambua kwamba hizo huduma kupitia simu ni wachache wanaozitumia.
Tembelea hizo bank ujionee mwenyewe zaidi ya hapo kama mtu anataka kudeposit 200m ataenda kwa wakala au ataenda bank?