Kati ya madirisha sita ya teller wa NMB, manne TEMPORARILY CLOSED. Hii tabia inakera!

Sio lazima ila ni muhimu rafiki, Serikali ikupe kazi yao halafu haubenk na benk yao, we unakuwa sio "nzalendo" If you know what i mean. So huwa tunajitahidi tuwe na account za bank zingine na NMB ikiwemo.
NMB siyo benki ya serikali, hiyo ni commercial bank, serikali ina benki moja tu ambayo ni BOT. Pia ina hisa zaidi ya 51% benki ya posta ndio maana tunaeeza sema postal bank ni ya serikali.
Umeelewa binti kiziwi ?
 
Umeongea ukweli mtupu mleta hoja, pia kero zaidi zipo kwenye ATM machines, unakuta zipo mashine 3 halafu inayotoa huduma ni moja, na wateja nje wapo zaidi ya 15, shame kabisa.

Huu upuuzi ndo unaonifanye muda sio mrefu nitahamisha account yangu ya mshahara kwenda bengi zinazojielewa.

NMB mna customer care ya hovyo sana, endeleeni hivyo mtapata mnachokitafuta.
 
Sio lazima ila ni muhimu rafiki, Serikali ikupe kazi yao halafu haubenk na benk yao, we unakuwa sio "nzalendo" If you know what i mean. So huwa tunajitahidi tuwe na account za bank zingine na NMB ikiwemo.
sometimes muwe mnapiga kimya kuficha ujinga.
 
Wapuuzi tu, temporary closed kila siku! Madirisha 10, mawili tu ndio yana ma-teller, tena muda wote anaongea na mtu anaeingia mlango wa nyuma yake na kumpa vimemo vya kazi za kifanya, huku nyie mpo mmesimama kwenye line, pumbavu sana
Mimi niko zangu standard chartered,
Kabisa siwezi kuvumilia ule ujinga wa hizi bank zetu
 
Hawa jamaa washenzi sana ili uende benki inahitaji uache kazi ili ukashinde bank nilikaa bank masaa mawili


Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Halafu kuna watu wanawatetea
 

Banking sector wanadeal na captive markets/customers hio ndio jeuri yao, na zaidi customers hawajui wajibu wa mtoa huduma kwao. Dawati la wazi la malalamiko kwenye mabenki halipo.
 
Mhusika yupo ametulia, anakunywa chai na kuchezea simu, mwisho wa mwezi mshahara unaingia. Haya mambo JPM aliyapiga vita sana.
 
sikuenda kuonyesha. nilienda kuweka na kumkaribia ili nipate number. usinunue kesji mkuu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚yaishe Mkuu.Hata mimi ni mtuaji mzuri wa mbinu za medani katika mazingira hayo mkuu. Ila mimi huwa haifiki 20.Pamoja sana
 
kati ya viti 420 bungeni, viti 170 tu ndio huwa vinakaliwa; like father like son.
 
Mkuu naona kama hata wewe inabidi uache ujinga. Yaani kupata namba ya teller hadi ukaoneshe mil 20 kweli?Dah
😁😁 watu wa kutoka kolomije wanadhani kufanya hivyo ndio ujanja mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…