Aliyesoma VETA ujenzi ni kibarua wa ujenzi aliyechangamkaHuyu mleta mada ana chuki binafsi na maengineer. Yaani MTU apige PCM halafu four years undergraduate ashindwe kufanya kazi ya saidia fundi! Yaani kazi ya kukoroga mchanga na saruji ambayo hata illiterate anafanya
Kama hujawahi kupika ugali mzuri huwezi kusimamia watu kupika ugali mzuri.Engineer nimtaalam na hashiki nyundo kupaua nyumba .
Kazi ya Engineer ni kudesign na kumsimamia fundi Kutoka Veta ili ashike nyundo vizuri na kujenga mjengo aliodesign kama inavyotakiwa.
Usitegemee Fundi kutoka Veta aweze kudesign au kusimamia structure ya jengo kama lile la Bandari .
Wanapoambiwa waende Veta ni kwa ajili ya kujifunza namna ya kushika ,beleshi ,kijiko , Kobilo na nyundo na kupaua jengo au kujenga jengo alilodesign yeye mwenyewe ili ajiajiri yeye mwenyewe kwenye ujenzi mdogo mdogo.
Lakini pia veta kuna kozi nyingi za kujiajiri kama upishi, kusuka nywele ,mapambo , kutengeneza unga wa lishe ,kusindika vyakula ns vinywaji, kutengeneza sabuni n.k
Halafu utakuta ukiumwa unaenda kutibiwa na MD kwenye jengo alilojenga na kudesigniwa na engineer.Kama hujawahi kupika ugali mzuri huwezi kusimamia watu kupika ugali mzuri.
Hiyo CoET umefanya nn Cha maana Kwa t,Kweli Dunia imevaa Dela, ni kuishikilia tyuh.
COET inafananishwa na VETA? Nachokaa mie.
Hili limeniliza sana, 😭😭😭😭
Sawa Tafuta Wachina wenye First degree ujue pia wanafanya kazi gani apa Bongo kwenye miradi yao.Wamesoma mitaala ya competence based education, more clinical hours(hands on)
Mwambie mtu wa VETA hawezi kufanya project management.Ofcourse wanafundishwa almost everything, lakin si focus ya course yao. Ukishafika degree is about usimamizi zaidi, field work ni diploma na kushuka
Hayo majengo ya maghorofa makubwa huyaoni? Huwa husomi hata vile vibao vikionyesha mainjinia waliohusika huwa unaona kuna cheo cha VETA kwenye bango la jengo linalojengwa?Hiyo CoET umefanya nn Cha maana Kwa t,
Engineer anadesign, Technician anasoma michoro na kumuelekeza Artisan (mtenda kazi za mikono)Unaweza kutofautisha katika ya:
- Artisan
- Technician
- Engineer?
Inategemea aina ya gari kuna gari huwezi peleka kwenye gereji chini ya mwembe litakufa kimoja lazima upeleke kwa dealer au uwaite wenye mainjinia wa magariTofauti ipo kwenye vyeti, matarajio na viwango vya mishahara, lakini jamii (mtumiaji wa mwisho) inachohitaji ni huduma. Yaani gari langu limeharibikia njiani nataka fundi aje alitengeneze ili kuendelea na safari yangu. Nani kati ya hawa 2 nitampata haraka na nani kati ya hawa atafanikisha gari langu lipone na kuendelea na safir yangu.
We msenge kweli , Artisan WA veta anaweza fanya power system and controls design na analysis ? , Hivi mnajua kazi ya Engineer ,Technician na artisan ninyi mbwa ? ,Au mnafikiri hao walioweka hizo sections ni wapumbavu ,Kenge kabisa wewe .Tofauti ipo kwenye vyeti, matarajio na viwango vya mishahara, lakini jamii (mtumiaji wa mwisho) inachohitaji ni huduma. Yaani gari langu limeharibikia njiani nataka fundi aje alitengeneze ili kuendelea na safari yangu. Nani kati ya hawa 2 nitampata haraka na nani kati ya hawa atafanikisha gari langu lipone na kuendelea na safir yangu.
Kwa hiyo hujaelewa, kweli?Em rudia sijaelewa,
Hayana akili haya mapumbavu , ni sawa na kusema Doctor,dentist afanye kazi za medical attendant au nurse ,ni kukosa akili kwa Watanzania na kutaka kuleta ujuaji kuzungumzia mambo wasiyo na uelewa nayo , foolsUlitaka mhandisi wa Ujenzi...na yeye ajenge Tofali kweli....Yeye yupo level ya management.
Ivi Watz ni lini Ujinga utatuisha.
Yani mnataka wote wawe watendaji haya na wakaguaji na wasimamizi wawe kina nani.
Nani kakuambia mhandisi afanyi practical implementation courses ? Acha ujuaji WA *******Sasa ni kipi kilichozuia huyu mhandisi na ye afanye practical kama wa veta??,,je wajua vyote ni mhimu??..kwa style hiyo uyu injinia sehemu ingine atashindwa kuajiriwa.
Mpe kazi ya kujenga ghorofa huyo VETA wako uone litakavyokuja kukua gukiaVETA
Kwa sababu ntamlipa mshahara kidogo
Ulishamkuta Doctor anafanya kazi za nurse midwifery au medical attendant au clinical officer ?Sasa ni kipi kilichozuia huyu mhandisi na ye afanye practical kama wa veta??,,je wajua vyote ni mhimu??..kwa style hiyo uyu injinia sehemu ingine atashindwa kuajiriwa.
Ni ******* sana hawa we ,wasikilizwe tu ujinga wao , yaani AMO afanye kazi za physician Doctor au specialist Doctor ? ,Kweli upumbavu ni mzigoWee Jamaa AMO alikuwa bora kuliko MD lini?? Mwaka Gani??
Yaani Assistant Medical officer akawe bora kuliko Medical Doctor?? Hii historia Hatuna.
Twende taratibu mkuu,usiwe na jazba kiiivyo tunatafuta uelewa, yawezekana kabisa unabishana na watu unaowazidi kielimu,lkn hata uyo unayemzidi kielimu kuna jambo anaona haliko sawa katika elimu zetu tz,,ebu nikuulize hivi wajua kuna mazingira fulani yawezekana ukashuka na kufanya kazi ya walio chini yako??,,Nani kakuambia mhandisi afanyi practical implementation courses ? Acha ujuaji WA *******
MD is just next from from 6 kama alivyo first degree engineer. MD ni multipurpose officer master of none chini ya uangalizi wa his/her specialist. Huyu engineer alitoka shuleni huyu lazima afanye blue color works za kuchanganya na kuchapia udongo chini ya usimamizi wa specialists (master holders ) kwenye fani. Wenzeti wanaofanya vizuri huko duniani bima haziruhusu mtu kutibiwa na dk mwenye degree moja, hawalipi; au jengo lililolosimamiwa na mtaalam mwenye tudigrii tumoja cha uhandisi. Degree moja ya uhandisi (fresh from form 6) unaweza kudesign kitu gani cha maana.Halafu utakuta ukiumwa unaenda kutibiwa na MD kwenye jengo alilojenga na kudesigniwa na engineer.
Twende taratibu mkuu,usiwe na jazba kiiivyo tunatafuta uelewa, yawezekana kabisa unabishana na watu unaowazidi kielimu,lkn hata uyo unayemzidi kielimu kuna jambo anaona haliko sawa katika elimu zetu tz,,ebu nikuulize hivi wajua kuna mazingira fulani yawezekana ukashuka na kufanya kazi ya walio chini yako??,,
Mifano mizuri tunaona kwa walioendelea kama ujerumani, china na kwingineko,injinia asimamii tu wakati mwingine na ye anashika nyundo,koleo nk,,lkn wasomi wetu nyie mnataka mkae tu maofisini weee,,mnaishia tu kuelekeza na kuagiza,,wenzetu wanaweza fanya katika hali zote hata kubeba karai ya zege kupandisha ghorofani,why nyie mko tofauti??,, kumbuka hali hii yawezatokea tokana hasa na uhaba wa ajira,unajua waweza kosa nafasi ya kuendelea kuwa msimamizi?,what next?utafanya nini?, tatizo lenu liko hapo!!.
Nenda katizame mitaala yao waliyofundishiwa; Theory 30% na Practical 70%, mitaala yenu ikoje? ma specialist wao wanazama chini ya maji kujenga madaraja makubwa na hatari kwa ratio na dimensions wanazoziamini wao.Sawa Tafuta Wachina wenye First degree ujue pia wanafanya kazi gani apa Bongo kwenye miradi yao.