Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Au tusubiri na press conference ya Mwenyekiti wa CHADEMA taifa ili kuthibitisha kwamba CHADEMA imegawanyika vipande au makundi matatu yanayojitegemea?
Nakumbuka niliwahi kukomenti mahali kwenye platform hii kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA taifa akifanya press conference mathalani leo, haziwezi kuzidi siku 5, na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa pia atafanya press conference and vise versa is true.
Na kama sio wao watafanya hivyo wafuasi wao kwa niaba yao. Mwenye macho haambiwi tazama na mwenye maskio na askie. CHADEMA panafukuta na panafuka moshi.
Kupata mijadala ya Uchaguzi Serikali za Mitaa kwa kila Mkoa angalia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Je, hali hiyo ni kupimana ubavu na nguvu ya ushawishi, hujuma au kuhujumiana kwa makusudi, kwamba hakuna anaependelea mwingine kutrend viral zaid ya mwingine in public domain, right?
Okay fine, wote ni viongozi waandamizi wa CHADEMA, inamaana hawawasiliani kabisa? kwanini?
Je, wana CHADEMA wazingatie maelezo na maelekezo ya nani kati ya yale ya Lissu au yale ya Lema na Kigaila?
Hili timbwili linalofuka moshi mweusi ndani ya CHADEMA, linaweza kuzimika bila political casualties kwa baadhi yao mpaka kufikia January 2025 kweli?
Hivi ni muandamizi gani wa CHADEMA aliesema kwamba, chadema haikujiandaa na uchaguzi wa Serikali za mitaa wa tar. 27?
Pia soma: LGE2024 - Benson Kigaila: Yeyote akisema hatukujiandaa na uchaguzi anafanya kazi ya CCM
Na kwanini kudhalilishana na kufedheheshana hadharini kiasi kwamba sasa kiongozi wa CHADEMA akisema ukweli tu, basi anakua painted kama mtu alierubuniwa kwa vipande vya fedha, vyeo au mali na CCM?
Nadhani hii ngoma na sebene lake iko karibu sana kupasuka, ni suala la muda tu na who is to break the line moto uwake 🐒
Mungu Ibariki Tanzania.