Pre GE2025 Kati ya mkutano wa Lissu, Lema na Kigaila upi ndiyo msimamo wa CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hiki CHADEMA kinaendeshwa kihuni huni sana.viongozi wake wenyewe hawajitambui kabisa hata kidogo zaidi ya usaka Tonge na uchumia tumbo tu.
Dogo chawa we bado huja balehe hivi hauoni uhuni wenye madhara kwa nchi kama unaofanywa na ccm

1).Kama kuvuruga chaguzi na kuharibu demokrasia

2). Kuuza rasilimali za nchi
3).
4).Kuua na kutekwa wapinzani

4).Kukopa kupindukia na kifisadi hazina ya nchi
 
so, gentleman,
tujiweke tayari kwa press conference nyingine ya kiongozi mwingine yenye content na uelekeo tofauti kabisa na press conference ya jana na juzi right?🐒
Hiyo ni process dogo usiogope Wala usishangilie game bado mbichi

Fanya case study ukaJifunze politcs za wakenya ingawa shule yako ni ndogo
 
Au tusubiri na press conference ya Mwenyekiti wa CHADEMA taifa ili kuthibitisha kwamba CHADEMA imegawanyika vipande au makundi matatu yanayojitegemea?

Nakumbuka niliwahi kukomenti mahali kwenye platform hii kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA taifa akifanya press conference mathalani leo, haziwezi kuzidi siku 5, na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa pia atafanya press conference and vise versa is true.

Na kama sio wao watafanya hivyo wafuasi wao kwa niaba yao. Mwenye macho haambiwi tazama na mwenye maskio na askie. CHADEMA panafukuta na panafuka moshi.

Kupata mijadala ya Uchaguzi Serikali za Mitaa kwa kila Mkoa angalia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Je, hali hiyo ni kupimana ubavu na nguvu ya ushawishi, hujuma au kuhujumiana kwa makusudi, kwamba hakuna anaependelea mwingine kutrend viral zaid ya mwingine in public domain, right?

Okay fine, wote ni viongozi waandamizi wa CHADEMA, inamaana hawawasiliani kabisa? kwanini?

Je, wana CHADEMA wazingatie maelezo na maelekezo ya nani kati ya yale ya Lissu au yale ya Lema na Kigaila?

Hili timbwili linalofuka moshi mweusi ndani ya CHADEMA, linaweza kuzimika bila political casualties kwa baadhi yao mpaka kufikia January 2015 kweli?

Hivi ni muandamizi gani wa CHADEMA aliesema kwamba, chadema haikujiandaa na uchaguzi wa Serikali za mitaa wa tar. 27?

Pia soma: LGE2024 - Benson Kigaila: Yeyote akisema hatukujiandaa na uchaguzi anafanya kazi ya CCM

Na kwanini kudhalilishana na kufedheheshana hadharini kiasi kwamba sasa kiongozi wa CHADEMA akisema ukweli tu, basi anakua painted kama mtu alierubuniwa kwa vipande vya fedha, vyeo au mali na CCM?

Nadhani hii ngoma na sebene lake iko karibu sana kupasuka, ni suala la muda tu na who is to break the line moto uwake 🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Mene mene natepeli 😁😁
 
Mfano chuki dhidi ya JPM inatokana na mambo binafsi ya viongozi na sio msimamo wa chama
Unaongea upuuzi gani? Kwahiyo Kuuwawa kwa Maeazo, Ben Saanane, kuporwa majimbl yote na kuzuia mikutano ya M4C ilikua ni mambo "binafsi".

Alafu wababaishaji gani hao JPM aliwachukia? Mbona Deo Mwanyika alikua na kesi ya uhujumu uchumi na bado akapewa ubunge? Au mbona waliotajwa na TAKUKURU kuhusika na utoaji rushwa kwenye kampeni hakuna aliyekamatwa hadi leo??? Vipi kashfa ya Passport kuna waziri gani aliwekwa ndani?

Typical JPM lunatic
 
Au tusubiri na press conference ya Mwenyekiti wa CHADEMA taifa ili kuthibitisha kwamba CHADEMA imegawanyika vipande au makundi matatu yanayojitegemea?

Nakumbuka niliwahi kukomenti mahali kwenye platform hii kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA taifa akifanya press conference mathalani leo, haziwezi kuzidi siku 5, na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa pia atafanya press conference and vise versa is true.

Na kama sio wao watafanya hivyo wafuasi wao kwa niaba yao. Mwenye macho haambiwi tazama na mwenye maskio na askie. CHADEMA panafukuta na panafuka moshi.

Kupata mijadala ya Uchaguzi Serikali za Mitaa kwa kila Mkoa angalia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Je, hali hiyo ni kupimana ubavu na nguvu ya ushawishi, hujuma au kuhujumiana kwa makusudi, kwamba hakuna anaependelea mwingine kutrend viral zaid ya mwingine in public domain, right?

Okay fine, wote ni viongozi waandamizi wa CHADEMA, inamaana hawawasiliani kabisa? kwanini?

Je, wana CHADEMA wazingatie maelezo na maelekezo ya nani kati ya yale ya Lissu au yale ya Lema na Kigaila?

Hili timbwili linalofuka moshi mweusi ndani ya CHADEMA, linaweza kuzimika bila political casualties kwa baadhi yao mpaka kufikia January 2015 kweli?

Hivi ni muandamizi gani wa CHADEMA aliesema kwamba, chadema haikujiandaa na uchaguzi wa Serikali za mitaa wa tar. 27?

Pia soma: LGE2024 - Benson Kigaila: Yeyote akisema hatukujiandaa na uchaguzi anafanya kazi ya CCM

Na kwanini kudhalilishana na kufedheheshana hadharini kiasi kwamba sasa kiongozi wa CHADEMA akisema ukweli tu, basi anakua painted kama mtu alierubuniwa kwa vipande vya fedha, vyeo au mali na CCM?

Nadhani hii ngoma na sebene lake iko karibu sana kupasuka, ni suala la muda tu na who is to break the line moto uwake 🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Mimi sioni hivyo. Inategemea na majukumu waliyopeana. Nilimsikia Tundu Lissu akisema, moja ya majukumu yake kama makamu wa mwenyekiti (kama nakumbuka vizuri) ni kutoa mafunzo kwa viongozi, na hata kwa wanachama nadhani. Huwa naona kwamba Tundu Lissu anajaribu ku'respond' kwenye issues, ambazo ni more technical na kama mwanasheria, ni area yake kuzungumzia issues kama hizi. Kwa hiyo, frequency ya mikutano yake sioni kama lengo lake ni kutafuta umaarufu, bali kwamba anajaribu kutoa majibu kwa baadhi ya issues zinazojitokeza au kutaka mjadala uendelee kwa zile ambazo hazionekani kupata ufumbuzi wa pamoja.
 
kwahiyo waliokua wakifanya hizo press conference mbona walikua wakitoa takwimu na taarifa za kanda nyinginezo zisizowahusu?

na mbona wa huko kanda ya kati ambae sio kiongozi wa kanda, alidai chadema hawakujiandaa na uchaguzi huu wa Serikali za mitaa, halafu wale wa huko kaskazini ni kama vile walimjibu muungwana wa kanda ya kati kwamba huenda anafanya kazi kwa niaba ya chama Tawala, kwasabab chadema ilikua imejiandaa vizuri kwa uchaguzi huu?

hili unaizungumziaje gentleman?🐒

..Lissu amerudi nchini ndani ya siku mbili kila mtu amechangamka.

..kila upande unaitisha press conference kujibu alichoongea Lissu.

..Mama Abduli alikuwa anakula bata kumuachia mkwe aharibu uchaguzi.

..Lissu alivyozungumza Mama Abduli akaamua kumtoa mkwe kwenye usukani.

..waandishi wa habari, watu wa television,nao wamepiga kazi baada ya Lissu kurudi na kuwapiga watu za chembe.
 
Au tusubiri na press conference ya Mwenyekiti wa CHADEMA taifa ili kuthibitisha kwamba CHADEMA imegawanyika vipande au makundi matatu yanayojitegemea?

Nakumbuka niliwahi kukomenti mahali kwenye platform hii kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA taifa akifanya press conference mathalani leo, haziwezi kuzidi siku 5, na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa pia atafanya press conference and vise versa is true.

Na kama sio wao watafanya hivyo wafuasi wao kwa niaba yao. Mwenye macho haambiwi tazama na mwenye maskio na askie. CHADEMA panafukuta na panafuka moshi.

Kupata mijadala ya Uchaguzi Serikali za Mitaa kwa kila Mkoa angalia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Je, hali hiyo ni kupimana ubavu na nguvu ya ushawishi, hujuma au kuhujumiana kwa makusudi, kwamba hakuna anaependelea mwingine kutrend viral zaid ya mwingine in public domain, right?

Okay fine, wote ni viongozi waandamizi wa CHADEMA, inamaana hawawasiliani kabisa? kwanini?

Je, wana CHADEMA wazingatie maelezo na maelekezo ya nani kati ya yale ya Lissu au yale ya Lema na Kigaila?

Hili timbwili linalofuka moshi mweusi ndani ya CHADEMA, linaweza kuzimika bila political casualties kwa baadhi yao mpaka kufikia January 2015 kweli?

Hivi ni muandamizi gani wa CHADEMA aliesema kwamba, chadema haikujiandaa na uchaguzi wa Serikali za mitaa wa tar. 27?

Pia soma: LGE2024 - Benson Kigaila: Yeyote akisema hatukujiandaa na uchaguzi anafanya kazi ya CCM

Na kwanini kudhalilishana na kufedheheshana hadharini kiasi kwamba sasa kiongozi wa CHADEMA akisema ukweli tu, basi anakua painted kama mtu alierubuniwa kwa vipande vya fedha, vyeo au mali na CCM?

Nadhani hii ngoma na sebene lake iko karibu sana kupasuka, ni suala la muda tu na who is to break the line moto uwake 🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Inavyoonekana Kuna mvurugano ndani ya Chadema. Kiini cha kuwepo kwa mvurugano huu huko Chadema kwa maoni yangu ni kutokana na namna Mwenyekiti wa Chama chao hicho Freeman Mbowe kukosa misimamo inayoeleweka kuhusiana na Siasa za nchi hii kwa sasa. Siyo siri hata kidogo, Mbowe akiwa Kama Kiongozi wa Chama Chao hicho, amekuwa ni mtu ambaye Hana msimamo unaoeleweka hali hii imesababisha mkwamo na kuyumba kwa Wanachama wa chama hicho.

Mbowe amekuwa ni mtu asiyeaminika tena kwa sasa ndani ya Chama Chao hicho, watu wengi kwanza wanamchukulia kama ni Mamluki wa Chama tawala ambaye amejipachika kwenye Vyama vya upinzani kwa 'kazi maalumu ya kuvuruga vyama vya upinzani' ili kukinufaisha chama tawala.

'Engine' ya treni ikiharibika mabehewa yote ya treni nayo huyumba na kusimama!
 
Gentleman,
Ili Chadema angalau iaminike na huenda iimarike tena, unamshauri afanye nini huyo muungwana?

abadilike au angatuke na kuruhusu mawazo mapya n fikra mbadala?🐒
 
Yote ni mawazo yao yanaheshimika maana hakuna Umungu huko kama kwingine
bora liende sio 🤣

sasa si waifute idara ya itifaki maana ni kama vile ni useless tu 🐒
 
..Lissu amerudi nchini ndani ya siku mbili kila mtu amechangamka.

..kila upande unaitisha press conference kujibu alichoongea Lissu.

..Mama Abduli alikuwa anakula bata kumuachia mkwe aharibu uchaguzi.

..Lissu alivyozungumza Mama Abduli akaamua kumtoa mkwe kwenye usukani.

..waandishi wa habari, watu wa television,nao wamepiga kazi baada ya Lissu kurudi na kuwapiga watu za chembe.
hivi kuna pande ngapi kwasasa pale chadema gentleman, hata kila upande uitishe press conference halafu hata maji ya kunywa kwajili ya wazungumzaji hawajaandaliwa dah!🤣

Itifaki ilizingatiwa kweli? Mipashano ya hizo press conference itaisha lini gentleman,au ndio kwanza imeanza 🐒
 
Mimi sioni hivyo. Inategemea na majukumu waliyopeana. Nilimsikia Tundu Lissu akisema, moja ya majukumu yake kama makamu wa mwenyekiti (kama nakumbuka vizuri) ni kutoa mafunzo kwa viongozi, na hata kwa wanachama nadhani. Huwa naona kwamba Tundu Lissu anajaribu ku'respond' kwenye issues, ambazo ni more technical na kama mwanasheria, ni area yake kuzungumzia issues kama hizi. Kwa hiyo, frequency ya mikutano yake sioni kama lengo lake ni kutafuta umaarufu, bali kwamba anajaribu kutoa majibu kwa baadhi ya issues zinazojitokeza au kutaka mjadala uendelee kwa zile ambazo hazionekani kupata ufumbuzi wa pamoja.
Gentleman, unaweza ukawa sahihi, Je,
anafanya hayo kibinafsi au kwa niaba ya chama chake hata adai kwamba chadema haikujiandaa na uchaguzi huu?

Lakini pia,
aliulizwa swali kwenye press conference yake juzi, kwamba hayo maelezo na maelekezo ndiyo msimamo wa chadema au ni maoni yake binafsi?

alijibu nini muungwana?🤣
 
Hiyo ni process dogo usiogope Wala usishangilie game bado mbichi

Fanya case study ukaJifunze politcs za wakenya ingawa shule yako ni ndogo
mbona unaenda mbali sana gentleman na hatujamaliza bado 🤣

mimi siogopi na wala sina hofu yoyote na ustawi wa kidemokrasia ndani ya chadema na vyama vingine vya siasa. Ninaamini mkorogano na mvurugano huu ni mojawapo ya mambo ambayo yanaweza kuleta pumzi, heshma na uelekeo mpya na muhimu zaid basdae, kuliko ilivyo sasa..

hata hivyo nimuhimu kuwa na maono.

Je,
tutarajie nini katika siku chache za usoni kabla ya kampeni kuanza tar20.11.2024?

Press conference ya mkurungenzi wa itifaki kuwaleta pamoja makundi shindani ndani ya chadema?

Au,
press conference ya Mwenyekiti wa chama Taifa kuyapiga biti makundi ya mipasho ndani ya chadema?🐒
 
Au tusubiri na press conference ya Mwenyekiti wa CHADEMA taifa ili kuthibitisha kwamba CHADEMA imegawanyika vipande au makundi matatu yanayojitegemea?

Nakumbuka niliwahi kukomenti mahali kwenye platform hii kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA taifa akifanya press conference mathalani leo, haziwezi kuzidi siku 5, na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa pia atafanya press conference and vise versa is true.

Na kama sio wao watafanya hivyo wafuasi wao kwa niaba yao. Mwenye macho haambiwi tazama na mwenye maskio na askie. CHADEMA panafukuta na panafuka moshi.

Kupata mijadala ya Uchaguzi Serikali za Mitaa kwa kila Mkoa angalia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Je, hali hiyo ni kupimana ubavu na nguvu ya ushawishi, hujuma au kuhujumiana kwa makusudi, kwamba hakuna anaependelea mwingine kutrend viral zaid ya mwingine in public domain, right?

Okay fine, wote ni viongozi waandamizi wa CHADEMA, inamaana hawawasiliani kabisa? kwanini?

Je, wana CHADEMA wazingatie maelezo na maelekezo ya nani kati ya yale ya Lissu au yale ya Lema na Kigaila?

Hili timbwili linalofuka moshi mweusi ndani ya CHADEMA, linaweza kuzimika bila political casualties kwa baadhi yao mpaka kufikia January 2015 kweli?

Hivi ni muandamizi gani wa CHADEMA aliesema kwamba, chadema haikujiandaa na uchaguzi wa Serikali za mitaa wa tar. 27?

Pia soma: LGE2024 - Benson Kigaila: Yeyote akisema hatukujiandaa na uchaguzi anafanya kazi ya CCM

Na kwanini kudhalilishana na kufedheheshana hadharini kiasi kwamba sasa kiongozi wa CHADEMA akisema ukweli tu, basi anakua painted kama mtu alierubuniwa kwa vipande vya fedha, vyeo au mali na CCM?

Nadhani hii ngoma na sebene lake iko karibu sana kupasuka, ni suala la muda tu na who is to break the line moto uwake 🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Sio January 2015 andika vizuri
 
ni press conference ipi ndiyo hasa msimamo wa chadema kati ya iliyofanyika juzi na ile ya jana?

au tusubiri ya chairman?🐒
Shida nini kada,kifo cha CHADEMA si ndio furaha yenu sasa mnateseeeka,kwanini!? 😂
 
Back
Top Bottom