Pre GE2025 Kati ya mkutano wa Lissu, Lema na Kigaila upi ndiyo msimamo wa CHADEMA?

Pre GE2025 Kati ya mkutano wa Lissu, Lema na Kigaila upi ndiyo msimamo wa CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
..yote ni misimamo ya Chadema.

..Chadema wana mfumo wa KANDA.
Wachache, na pengine ni Kigaila tu ndiye atayekuelewa hapa.
Kifupi: CHADEMA wamepoteana. Wana moja tu la kufanya ili warudi katika chati. Nalo ni kumchagua LISSU kuwa m/kiti wao wa chama. Wakati huo huo wahakikishe kuwa Kigaila hashiki nafasi yeyote ile ya uongozi ndani ya chama, hususan ukatibu mkuu.
 
Unaongea upuuzi gani? Kwahiyo Kuuwawa kwa Maeazo, Ben Saanane, kuporwa majimbl yote na kuzuia mikutano ya M4C ilikua ni mambo "binafsi".

Alafu wababaishaji gani hao JPM aliwachukia? Mbona Deo Mwanyika alikua na kesi ya uhujumu uchumi na bado akapewa ubunge? Au mbona waliotajwa na TAKUKURU kuhusika na utoaji rushwa kwenye kampeni hakuna aliyekamatwa hadi leo??? Vipi kashfa ya Passport kuna waziri gani aliwekwa ndani?

Typical JPM lunatic
kajengeni kwanza chadema yenu inakufa huko wenyekiti wanagombana ndiyo u je uhoji mambo ya nchi yanavyoenda utaambiwa
 
Wachache, na pengine ni Kigaila tu ndiye atayekuelewa hapa.
Kifupi: CHADEMA wamepoteana. Wana moja tu la kufanya ili warudi katika chati. Nalo ni kumchagua LISSU kuwa m/kiti wao wa chama. Wakati huo huo wahakikishe kuwa Kigaila hashiki nafasi yeyote ile ya uongozi ndani ya chama, hususan ukatibu mkuu.
kwakweli chadema wamepoteana na wasipoangalia watajuta na mbowe hawezi kubali kuachia wenyekiti kirahisi hivyo
 
Au tusubiri na press conference ya Mwenyekiti wa CHADEMA taifa ili kuthibitisha kwamba CHADEMA imegawanyika vipande au makundi matatu yanayojitegemea?

Nakumbuka niliwahi kukomenti mahali kwenye platform hii kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA taifa akifanya press conference mathalani leo, haziwezi kuzidi siku 5, na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa pia atafanya press conference and vise versa is true.

Na kama sio wao watafanya hivyo wafuasi wao kwa niaba yao. Mwenye macho haambiwi tazama na mwenye maskio na askie. CHADEMA panafukuta na panafuka moshi.

Kupata mijadala ya Uchaguzi Serikali za Mitaa kwa kila Mkoa angalia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Je, hali hiyo ni kupimana ubavu na nguvu ya ushawishi, hujuma au kuhujumiana kwa makusudi, kwamba hakuna anaependelea mwingine kutrend viral zaid ya mwingine in public domain, right?

Okay fine, wote ni viongozi waandamizi wa CHADEMA, inamaana hawawasiliani kabisa? kwanini?

Je, wana CHADEMA wazingatie maelezo na maelekezo ya nani kati ya yale ya Lissu au yale ya Lema na Kigaila?

Hili timbwili linalofuka moshi mweusi ndani ya CHADEMA, linaweza kuzimika bila political casualties kwa baadhi yao mpaka kufikia January 2025 kweli?

Hivi ni muandamizi gani wa CHADEMA aliesema kwamba, chadema haikujiandaa na uchaguzi wa Serikali za mitaa wa tar. 27?

Pia soma: LGE2024 - Benson Kigaila: Yeyote akisema hatukujiandaa na uchaguzi anafanya kazi ya CCM

Na kwanini kudhalilishana na kufedheheshana hadharini kiasi kwamba sasa kiongozi wa CHADEMA akisema ukweli tu, basi anakua painted kama mtu alierubuniwa kwa vipande vya fedha, vyeo au mali na CCM?

Nadhani hii ngoma na sebene lake iko karibu sana kupasuka, ni suala la muda tu na who is to break the line moto uwake 🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Hakuna mkusanyiko wowote wa kisiasa iwe chama au kikundi wenye mawazo yanayofanana.

Lissu alifanya tathmini ya hali ya kisiasa kwa kurejea matukio ya sasa ya uchaguzi wa serikali za mitaa na mlolongo mzima tangu utawala huu uingie madarakani. Kisha akaelezea maoni yake nini kifanyike hakusema Chadema itafanya hivi.
 
kajengeni kwanza chadema yenu inakufa huko wenyekiti wanagombana ndiyo u je uhoji mambo ya nchi yanavyoenda utaambiwa
Chadema ipi inakufa we fisadi? Mngekua mnahangaika nayo kila siku? Kupishana kauli ndio demokrasia yenyewe maana hamuwezi fikiri sawa, ukiona wote mna mawazo sawa ujue mmejaa uoga na kujikomba tu.
 
Hakuna mkusanyiko wowote wa kisiasa iwe chama au kikundi wenye mawazo yanayofanana.

Lissu alifanya tathmini ya hali ya kisiasa kwa kurejea matukio ya sasa ya uchaguzi wa serikali za mitaa na mlolongo mzima tangu utawala huu uingie madarakani. Kisha akaelezea maoni yake nini kifanyike hakusema Chadema itafanya hivi.
Gentleman,
sasa kama ni hivyo kuna haja gani ya kua na chama au familia, ikiwa kila moja anaweza kuamka asubuh akasema au akafanya atakavyo?

Kama Lisu kafanya tathmini binafsi juu ya hali ya siasa, iweje atumie mgongo wa Chadema?

Au chadema hua haifanyi tathmini juu ya mambo hayo?

kwani Lisu, Lema, Kigaila na chadema nani ni muhimu zaidi ya mwingine?🐒
 
Ndani ya chadema kuna vibaraka wa aina tatu.

1) vibaraka wa Mbowe

2)Vibarak Wa lissu

3) Vibaraka wa CCM.

Itoshe kusema Chadema Kushney.
 
Gentleman,
sasa kama ni hivyo kuna haja gani ya kua na chama au familia, ikiwa kila moja anaweza kuamka asubuh akasema au akafanya atakavyo?

Kama Lisu kafanya tathmini binafsi juu ya hali ya siasa, iweje atumie mgongo wa Chadema?

Au chadema hua haifanyi tathmini juu ya mambo hayo?

kwani Lisu, Lema, Kigaila na chadema nani ni muhimu zaidi ya mwingine?🐒
Kuwa kiongozi maana yake sio kuwa bubu bado mtu ana maoni yake binafsi mambo ya ndio ndio ni ya wanafiki pekee. Baada ya kutoa maoni yake amesuggest way forward sasa ni juu ya chama chake watakapokutana kujadili mambo yao wataamua to what extent wayachukue maoni ya Lissu au kutoyachukua kabisa na watatoka na msimamo mmoja na ndiyo utakuwa msimamo wa chama.
 
amesagest kwa nani sasa hayo maoni yake binafsi ndrugo yangu selfish?

Juu ya chama chake tena?🤣
kwamba yeye ni useless kiongozi right?

Kwahiyo chadema ina viongozi wa kufanya kazi binafsi kupitia mgongo wa chama right?

sasa wakutane kujadili nini wakati kila moja kaishaeleza mambo yake binafsi kwenye vyombo vya habari na mitandaoni ya kijamii?🐒
 
Back
Top Bottom