Kati ya mume na mke nani anauma zaidi akiibwa?

Mwanamke anapendwa, mwanaume anaheshimiwa
Mkuu asikuambie kitu mke anaumwa sembuse kuchapiwa aisee
 
Ulishawah jiuliza kwann Wanawake wanaweza mshobokea mwanaume Malaya?.

Kwan mnadhan Baltazar uhuni wake umejulikana baada ya zile videos ? Hapana.

Wanawake wa huko walikua nao wanaambizana jamaa vile jamaa vile, basi Kila Mmoja akawa anajilengesha na hiyo ikamfanya jamaa asitumie nguvu kubwa.

Maana yangu ni kua, Mwanamke hajawahi umizwa na suala la mwanaume wake kula nje.

Mwanaume kule nje, kunamfanya mwanamke wako ashindane na mchepuko wako , naa kama ataamua nayeye kukusaliti, ni katika kutafuta tu ka Faraja yaan ajione yeye Hana maoungufu ndio maana Kuna wanaume wengine pia wanampenda.
Man Engonga [emoji91][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
ndo najua saivi kiongozi. kwaiyo kuna kuna kupenda kidogo hlf kupenda kawaida hlf kupenda sana au sio?🤣
 
Maumivu ni tafsiri hakuna maumivu pasipo tafsiri, kinachoumiza sio kitendo cha kuchapiwa bali tafsiri yako juu kitendo cha kuchapiwa, hivyo hakuna mtu aliyewahi kuumia sababu kitendo cha kuchapiwa bali tafsiri yako juu ya kitendo cha kuchapiwa, na ndo maana unaweza kuta wanaume wawili wamechapiwa mmoja akavuka kirahisi huu mtihani kwa kuangalia hakuna mkamilifu akasamehe kulingana na tafsiri yake kuwa hakuna mkamilifu, mwingine akatafsiri kuwa kuchapiwa NI kitendo kibaya sana atawaza mengi sana huyu tafsiri yake ndo gereza lake la maumivu, hivyo maumivu ni hiari ya mtu iliyopo kwenye FIKRA zako uyakaribishe au huyakatalie kuingia narudia maumivu ni hiari.
 
kwaiyo kiongozi unamaanisha tujifunze kusamehe 7×70 maisha mengine yaendelee au sio
 
Back
Top Bottom