Kati ya mume na mke nani anauma zaidi akiibwa?

Kati ya mume na mke nani anauma zaidi akiibwa?

Ulishawah jiuliza kwann Wanawake wanaweza mshobokea mwanaume Malaya?.

Kwan mnadhan Baltazar uhuni wake umejulikana baada ya zile videos ? Hapana.

Wanawake wa huko walikua nao wanaambizana jamaa vile jamaa vile, basi Kila Mmoja akawa anajilengesha na hiyo ikamfanya jamaa asitumie nguvu kubwa.


Maana yangu ni kua, Mwanamke hajawahi umizwa na suala la mwanaume wake kula nje.


Mwanaume kule nje, kunamfanya mwanamke wako ashindane na mchepuko wako , naa kama ataamua nayeye kukusaliti, ni katika kutafuta tu ka Faraja yaan ajione yeye Hana maoungufu ndio maana Kuna wanaume wengine pia wanampenda.
Binafsi nimekuelewa sana.
 
Back
Top Bottom