RedPill Prophet
JF-Expert Member
- Apr 25, 2023
- 1,408
- 3,564
Utampata. We tulia tu usiwe na wenge.Nikimpendaga mtu nakua mwaminifu sana kwake, wala hua sina haja na backup sema tu ndo hivyo sijawahi kumpata kwa kuendana na mimi nilivyo
Sio kwamba ukitaki, let it go na uendelee na maisha. Hasa mapenzi yanagharimu sana utapishana na watu sahihi ukimganda mtu ambae hata hajali chochote kukuhusu.Hii kweli hii, Ukiona kitu huwezi pata jifanye hukitaki siyo.
Usimshauri hivyo, wanawake hawapaswi kuwa wa hovyo .Ili uenjoy dunia ya leo kua kijana wa hovyo utapata wengi wa kufanana nao.
Huko sipo 😂 kumradhi sana ndugu afisa wa jamii forumWewe itakuwa hata pale IPP Mwenge tulikuwa wote tukishindana kupata zawadi za mama “Cowbell” our milk 🤣🤣🤣
Nakazia ⚠️Ili uenjoy dunia ya leo kua kijana wa hovyo utapata wengi wa kufanana nao.
Kabisa.Sio kwamba ukitaki, let it go na uendelee na maisha. Hasa mapenzi yanagharimu sana utapishana na watu sahihi ukimganda mtu ambae hata hajali chochote kukuhusu.
Shetani mtu mzito hashindwi kuwa na bar yake kule kuzimu, unafikiri na ule moto bila kunipooza na gambe utatoboa na ushaambiwa moto wa milele!!! 🤣🤣🤣😂😂 alafu uende ukanunue nn huko uendako?
💔Mapenzi ni Natural Mistake.Sio kwamba ukitaki, let it go na uendelee na maisha. Hasa mapenzi yanagharimu sana utapishana na watu sahihi ukimganda mtu ambae hata hajali chochote kukuhusu.
Mapenzi ni vile unavyoyachukulia💔Mapenzi ni Natural Mistake.
😂 kama nakuona utakavyomnunulia na bwana shetani 😂Shetani mtu mzito hashindwi kuwa na bar yake kule kuzimu, unafikiri na ule moto bila kunipooza na gambe utatoboa na ushaambiwa moto wa milele!!! 🤣🤣🤣
Hapo kwenye muda wake bado umemlamba kisogo😅Usimshauri hivyo, wanawake hawapaswi kuwa wa hovyo .
Muda wake wa kumpata ambaye atafanana naye unakuja, atulie tu.
😅Kama bangi tu yani.Mapenzi ni vile unavyoyachukulia
Na hii ndio maana halisi ya kukua, kuwa na uwezo wa kuyaruhusu mambo mengine yapite.Kabisa.
Bangi sijawai itumia kwahiyo siwezi relate😅😅Kama bangi tu yani.
Wewe ndiye yule mtoto uliyejikojoleaga ulivyomuona mama cowbell 🤣🤣🤣Huko sipo 😂 kumradhi sana ndugu afisa wa jamii forum
😂😂mimi sijawahi kuwa mtotoWewe ndiye yule mtoto uliyejikojoleaga ulivyomuona mama cowbell 🤣🤣🤣
Kweli bro Leejay49 asiwe mhuni tu, inawezekana bado ni mdogo , kwasasa afanye kazi kwa bidii mambo yaende. Mapenzi hayahjtaji haraka, ukiharakisha lazima upigwe na tukio.Hapo kwenye muda wake bado umemlamba kisogo😅
Na wala hakuna ulazima wa kutafutana,,,ni hulka zetu Hasii tuu!!nichukukue notes hapa, maana mimi ni mvivu kutafuta watu.. Hua wanahisi nafanya kusudi kumbe ndo nilivyo hivyo
Kajaribu mkuu ulete mrejesho.Bangi sijawai itumia kwahiyo siwezi relate😅