Kati ya Mwanaume na Mwanamke nani anatakiwa awe wa kwanza kuwa anamtafuta mwenzake

Kajaribu mkuu ulete mrejesho.

Note: Mapenz ni moja ya sababu iliofanya watu wengi wako Jela leo, Kwa kuua,kudhuru,ubakaji,dhuruma na hata wizi.
Achaneni na Mapenzi hasa yale ya dhati ni mabaya sana.
Mjani hapana siwezi jaribu kama hadi umri huu sijawai tumia.

Mapenzi mabaya lakini matamu
 
Sasa dunia ya leo ukitulia tu ukafunika kombe wanaharamu wanalifunua, Any way awe mwaminifu hata kufa.
 
Sasa dunia ya leo ukitulia tu ukafunika kombe wanaharamu wanalifunua, Any way awe mwaminifu hata kufa.
Awe mwaminifu tu. Kikubwa kuanzia sasa mahusiano yake mapya yawe ya siri, wanawake wengi wanaibiwa na marafiki zao waume kwa kutoa kila kitu kwenye mahusiano changa, mahusiano yakikomaa miaka mitatu hivi ndo unaweza ambia marafiki .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…