Kati ya Mwanaume na Mwanamke nani anatakiwa awe wa kwanza kuwa anamtafuta mwenzake

Hio ni dalili ya mtu ambaye humpendi ila anafosi kingi, au umemuacha bila yeye kujua kashaachwa.
 
Hii kitu aisee hapana.
Sasa mtu kafungua WhatsApp kaiona message alafu kablue tick na kupita hivi.

Hii ni kama dharau, ni heri hata blue tick isionekane ujue hayupo online.
Mimi uwa nasahau 🥹
Naweza nikafungua sms, nikashika kazi ya kufanya niweke simu kando. Nikija shika simu tena nimekusahau 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…