Mi naona mwenye hela ndio atafutwe.....
Good....Kupenda siachi ila kwa akili sio moyo.
ila kuna my best friends wachache wananielewa how I used to be, kidogo inanipa amani and they are comfortable to call me mda wote wala hawalalamiki...shida nikipataga mpenzi ndo anakuaga hanielewi hadi mtu unamwonea huruma mda wote analalamika simtafuti, naamuaga kumwomba tuachaneNi kweli si muda wote wa kuwasiliana lazima mfanye majukumu yenu mengine pia.
Ila mwenzako akiwa na shauku na wewe halafu wewe haushukwi naye lazima ajisikie vibaya.
Kuna wakati nakuwa busy hata baada ya mida ya mishe zangu manzi wangu huwa anajisikia vibaya anakuwa na kawivu fulani ila tunayaweka sawa tunasonga najitahidi kumcall na viutani vya hapa na pale anachangamka tunasonga
Emu tuma kwangu nikupigie tuongee mpk simu ipate moto πNtaipandisha π
Nmempigia baada ya muamala tumeongea kidogo akaomba udhuru dkka moja ananipigia, ndio mpaka sahizi πππ
Ndio kilichonishangaza ,ye ni mmoja wa watu active sana humu au loneliness?Hapo mwishoni umeenadika kwa huzunin sna hadi roho imeniunaπ₯
kama unaweza kuchangia karibia kila mada humu jf....halafu ushindwe kutafuta watu
mi na uhakika hao watu wanashindwa tu ku-communicate vizuri na hisia zako.....
pole sana unapitia mengi
We jaribu uone kung fu za tai chi live π€£π€£Naomba niache ntakupiga ujueπ
MpigeWe jaribu uone kung fu za tai chi live π€£π€£
Jitahidi bwana,mbona humu unachat fresh tuila kuna my best friends wachache wananielewa how I used to be, kidogo inanipa amani and they are comfortable to call me mda wote wala hawalalamiki...shida nikipataga mpenzi ndo anakuaga hanielewi hadi mtu unamwonea huruma mda wote analalamika simtafuti, naamuaga kumwomba tuachane
Ni kwamba huna content au? π€£Yani itabidi nijitahidi kwakweli...maana nahisi kama uzi nimeandikiwa mimiπ€₯,, ni mvivu sana halafu hata kwenye texts pia unaweza ukaandika essay halafu nikaishia tu kusema sawa sijui nikoje yaniπ€π€
We unazingua sana πEmu tuma kwangu nikupigie tuongee mpk simu ipate moto π
Hanijui huyu km NIKITA wa jf π€£π€£π€£Mpige
We mzee leo umeongea point sanaHisia ndio huwa zinafanya maamuzi na si pesa
Ofcourse nikiwa Jf nakua huru sana, lakini when comes to watu wanaonifahamu ni changamoto..Namshukuru Mungu marafiki zangu wa mda mrefu na ndugu zangu wananielewa,, shida ipo nikikutana na new friends especially mpenzi inakua kazi sana kunielewa sijui natakiwa kufanya nini yaniππHapo mwishoni umeenadika kwa huzunin sna hadi roho imeniunaπ₯
kama unaweza kuchangia karibia kila mada humu jf....halafu ushindwe kutafuta watu
mi na uhakika hao watu wanashindwa tu ku-communicate vizuri na hisia zako.....
pole sana unapitia mengi
π we jidanganye na muvi za jack chan uone balaa lake ujuteWe jaribu uone kung fu za tai chi live π€£π€£
Easy tu mbona? Sioni shida kabisahaya mambo ya kuachwa kwenye blue tick we yaskie tu
Kwakweli nitajitahidi,, humu hakuna wanaonifahamu ndomana nakua freee mda wowote kuandika chochote ππJitahidi bwana,mbona humu unachat fresh tu
Kweli eti sinaga contents ππππNi kwamba huna content au? π€£