Kati ya Mwanaume na Mwanamke nani anatakiwa awe wa kwanza kuwa anamtafuta mwenzake

Btn the lines unapenda sana watu ambao sio serious sana especially mpenzi awe mcheshi masiala ya hapa na pale inshort asiyetabirika interesting hachoshi...ili uwe huru kujiaachia...usijihisi kama anakubana hivi
bad enough haujakutana na wa hivyo.

anyway..amna namna ya wewe kufanya chochote ili ubadilike ila unahitaji mtu atakayekuelewa wewe na kukuchukua hivyo ulivyo
 
Walau umesema neno.....ila inategemea na perceptions za kila mtu sasaπŸ˜…πŸ˜…
Yan dawa ni kuwazimia read receipts.

Changamoto nayoikubali ni mzito kupiga cm kwa ndugu, mama angu ameshanisema mpaka kanichoka. Na sometimes simu inaweza kuita hapo, naiangalia naifunika pembeni πŸ˜€πŸ˜€

Hunikuti namlalamikia mtu maana me mwenyewe kuna siku vikiamka nakuwa naiona cm nzito.

Tunapaswa kuelewana tu.. afu kuna wale simu za maulizo ya kikazi anakupigia muda wa kazi umeisha. Uwii inakeraaaaa
 
That's it πŸ‘ŠπŸ‘Š... I hope that too, nitampata wa kufanana na kuendana na mimiπŸ€—πŸ€—πŸ€—
 
Wewe ni mimi kabisa yani...unaweza ukapiga simu nikaona uvivu kuongea nakwambia niko na kazi kidogo ntakupigia badae halafu ndo inakua basi
Kumbe kuna kufanana, huwa Nina neno langu nikiona text "nah can't type now" hata call naweza Sema "enh", "ooh ok"....Ila same time naweza kuwa site zingine nakuwa active hata kuandika long replies.

Hadi out na friends narushaga kuwa nina kazi nyingi au Niko mbali πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yani akitokea mtu anione nilivyo active Jf walahi anaweza kusema namfanyia makusudi kumbe ndo ikogo hivyo automatically πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hivyo ndio vizuri sio kila saa simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…