Mr bean simpendi hanichekeshi km Jack Chan, labda Nixau yule wa The Godβs must be crazy π€£π€£π€£π€£ππ sasa ukiangalia mr bean si ndio utakufa kwa kucheka
Ndio unaringa ringa hueleweki tunakupiga
Ila watu ndo hawataki hivyo, wanasema huwapendi na lawama kila mda eti ππ€Hivyo ndio vizuri sio kila saa simu
Nikutakie kila la kheri kwenye hitaji la moyo wakoππThat's it ππ... I hope that too, nitampata wa kufanana na kuendana na mimiπ€π€π€
AmenπππNikutakie kila la kheri kwenye hitaji la moyo wakoππ
Kuna kusahauβ¦ mtu anaweza kufungua sms akasahau kujibu π€£ ama kurespond missed call.unampigia mtu na text juu alafu kimya na yupo anakaa kimya hata 3 days akiwa na shida zake ndio anakutafuta, hiyo ni dharau.
Yani ukiona nakomaa kukutafuta na unanipa less response basi ujue nimekuelewa mno na nikiona hali haichange nabadilika.
Siringi sasa naringa nanini?Ndio unaringa ringa hueleweki tunakupiga
Kwa hili swala Sister umetupiga paneneπHahahhaππππ... humu niko free sana yani sijui kwanini ππ
Kwanini mkuuππKwa hili swala Sister umetupiga paneneπ
Mpige halafu umtupe kwa anaconda amlee hadi mifupaHanijui huyu km NIKITA wa jf π€£π€£π€£
Baadhi ya wanaume wako hivyo hawataki waonekane kama wanamshobokea sana manzi.shida nikipataga mpenzi ndo anakuaga hanielewi hadi mtu unamwonea huruma mda wote analalamika simtafuti, naamuaga kumwomba tuachane
Yani wewe ni kusahau tu kila siku ππKuna kusahauβ¦ mtu anaweza kufungua sms akasahau kujibu π€£ ama kurespond missed call.
Ingawa hawakosekani wanaofanya kusudi esp pale ambapo hakufeel.
Ni kero sanaMake kwanza hapa nicheke ππππππ€£π€£π€£π€£.......wewe ni mimi kabisa π
Mimi nikiona msg tu tayari mnara unaanza kusoma 5g ndio shida yangu ilipo hapo πIla watu ndo hawataki hivyo, wanasema huwapendi na lawama kila mda eti ππ€
Ndio inatokea π€£π€£Yani wewe ni kusahau tu kila siku ππ
Ila ukiwa na shida zako unakumbuka
Umenifanya nitamani kumuangalia niumize mbavu π€£π€£π€£Ntakupiga pigo moja hilo matata mpaka ukamuite jack chanπ
Utaona nikita anakuja na fekeo Lamomy anakufeka hadi raha mabaki yako tunampa anacondaSiringi sasa naringa nanini?
Sawa,, ngoja nijitahidi kuanzia wiki ijayo... wiki hii nifanye kwanza mazoezi kwa marafiki marafiki au we unaonajeππBaadhi ya wanaume wako hivyo hawataki waonekane kama wanamshobokea sana manzi
Sema nini kama amekuelewa na umemuelewa jitahidi uwe unamtafuta. Mapenzi ya wawili
Mkuu wewe ni mimi πMimi nikiona msg tu tayari mnara unaanza kusoma 5g ndio shida yangu ilipo hapo π
We unipendi kumbe πUtaona nikita anakuja na fekeo Lamomy anakufeka hadi raha mabaki yako tunampa anaconda