Kati ya Mwanaume na Mwanamke nani anatakiwa awe wa kwanza kuwa anamtafuta mwenzake

Kwakweli ngoja nijitahidi nimfanyie hivyo...ila sasa tatizo nilimwomba tuachane na alikubali🤔🤔... so nimwambie turudiane au😂😂🤥
 
HII kitu ipo sana.
Wanaume sometimes tunafake , sio kwamba hatuangalii, kuna muda unasema ngoja nionyeshe umwamba.

Kwanza mpenzi wako akiwa anacooperate inaleta furaha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…