Kati ya Mwanaume na Mwanamke nani anatakiwa awe wa kwanza kuwa anamtafuta mwenzake

Kati ya Mwanaume na Mwanamke nani anatakiwa awe wa kwanza kuwa anamtafuta mwenzake

Hamna bhana...unawezakuta mtu unampenda vizuri tu, ila kwenye mawasiliano ndo inakuwaga tatizo cause mimi sinaga stories, yani nikishajua umeamka salama na unaendelea vizuri siwezi kukusumbua sumbua kila mda...ila itabidi nijitahidi nibadilike maana naona huu ni uzi wangu leo😅😅😅
Ni kweli si muda wote wa kuwasiliana lazima mfanye majukumu yenu mengine pia.

Ila mwenzako akiwa na shauku na wewe halafu wewe haushukwi naye lazima ajisikie vibaya.

Kuna wakati nakuwa busy hata baada ya mida ya mishe zangu manzi wangu huwa anajisikia vibaya anakuwa na kawivu fulani ila tunayaweka sawa tunasonga najitahidi kumcall na viutani vya hapa na pale anachangamka tunasonga
 
Hamna bhana...unawezakuta mtu unampenda vizuri tu, ila kwenye mawasiliano ndo inakuwaga tatizo cause mimi sinaga stories, yani nikishajua umeamka salama na unaendelea vizuri siwezi kukusumbua sumbua kila mda...ila itabidi nijitahidi nibadilike maana naona huu ni uzi wangu leo😅😅😅
The funny thing is,unaenjoy na unatumia muda wako mwingi na watu usiotujua kuliko unaemjua🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sipendagi tu usumbufu, nikishjua unaendelea vizuri inatosha na mimi sio mtu wa story sana😃😃... by the way natakiwa nichange sasa naona maana nimepoteza watu wengi sana hadi marafiki
Hapo mwishoni umeenadika kwa huzunin sna hadi roho imeniuna😥

kama unaweza kuchangia karibia kila mada humu jf....halafu ushindwe kutafuta watu
mi na uhakika hao watu wanashindwa tu ku-communicate vizuri na hisia zako.....

pole sana unapitia mengi
 
Back
Top Bottom