Godoro la kioo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 456
- 1,003
Itakuwa wa kwako! Mbona mi nna akiliMwanamke hajawah miliki akil
Wanawake ni wajanja wajanja ndo maana Mungu kasema tuishi nao kwa akil labda kama unabishana na MunguItakuwa wa kwako! Mbona mi nna akili
Mbona maandishi mengine ya thread yako yametoka kivuli, utaalamu gani mnatumia kuandika namna hii?Upi mtazamo wako kati ya mwanaume na mwanamke nani ana akili zaidi
Kwangu Mimi naona kama wenzetu Kuna sehem wametupiga gape kwa sababu zifuatazo
1)Mwanamke akipata Hela anawaza namna ya kujiimarisha, na kama ameolewa anawaza namna ya kuwa peke yake
Hali ni tofauti kwa mwanaume yeye akipata Hela asilimia kubwa utakuta anaweza kuhonga, kuoa, kuongeza mke wa pili
2)Mwanamke anaweza kuwa na milioni mbili ndan lakini kama mwanaume huna kitu anaweza kukulaza njaa na hata ukipewa basi baada ya muda utayasikia masimango
Kwa lugha nyingine ni kwamba Hela ya mwanaume ni ya wote lakini ya mwanamke ni yake
Ukumbuke maandiko yanasema tuishi nao kwa akili
Means Wana akili ni wajanja
Huo ni mtazamo wangu mtazamo wako ni upi
Sisi uchagani mzee humpa mama pesa azitunze kawaida tu, ni vile vijana mnaokoteza mapopo bawa ndio maana mnaishi kwa wasiwasi kama mnaoga nnjeMimi wa kwangu aliniambia niwe nampa fedha anitunzie nikahisi kama amenidharau.Siku hiyo nipimkalipia kwa hasira nikamkanya asirudie tena,naona akawa mnyonge siku nzima.
Kwenye pesa hakuna kuaminiana,lolote linaweza kutokea na ndoa ikaishia hapo,imagine umempa na yeye kamkopesha ndugu yake kwa ahadi ya kurejesha,je ikitokea ikashindikana si ndo mtaanza kudaiana.Sisi uchagani mzee humpa mama pesa azitunze kawaida tu, ni vile vijana mnaokoteza mapopo bawa ndio maana mnaishi kwa wasiwasi kama mnaoga nnje
Huwa najua mapenzi na mahusiano yanahitaji uwazi na kuaminiana , sasa kama hauwezi mwamini na yeye anaweza kumkopea ndugu bila uwazi kwako hapo kuna mahusiano na mapenzi tena ?Kwenye pesa hakuna kuaminiana,lolote linaweza kutokea na ndoa ikaishia hapo,imagine umempa na yeye kamkopesha ndugu yake kwa ahadi ya kurejesha,je ikitokea ikashindikana si ndo mtaanza kudaiana.
Sasa title inasema MWENYE AKILI zaidi ni nani LAKINI kinachoongelewa ni tofautiUpi mtazamo wako kati ya mwanaume na mwanamke nani ana akili zaidi
Kwangu Mimi naona kama wenzetu Kuna sehem wametupiga gape kwa sababu zifuatazo
1)Mwanamke akipata Hela anawaza namna ya kujiimarisha, na kama ameolewa anawaza namna ya kuwa peke yake
Hali ni tofauti kwa mwanaume yeye akipata Hela asilimia kubwa utakuta anaweza kuhonga, kuoa, kuongeza mke wa pili
2)Mwanamke anaweza kuwa na milioni mbili ndan lakini kama mwanaume huna kitu anaweza kukulaza njaa na hata ukipewa basi baada ya muda utayasikia masimango
Kwa lugha nyingine ni kwamba Hela ya mwanaume ni ya wote lakini ya mwanamke ni yake
Ukumbuke maandiko yanasema tuishi nao kwa akili
Means Wana akili ni wajanja
Huo ni mtazamo wangu mtazamo wako ni upi
Mpaka hapo ata we umeona nani ana akiliKatika viumbe viumbavu visenge asee mwana..... Hamna kitu bwege wewe
Sasa title inasema MWENYE AKILI zaidi ni nani LAKINI kinachoongelewa ni tofa
Lengo ni ujumbe ufike suala la kupangilia mtafute mwalimu wa kiswahiliSasa title inasema MWENYE AKILI zaidi ni nani LAKINI kinachoongelewa ni tofauti