Kati ya Mzazi na mtoto Nani anatakiwa kumfafuta Mwenzake?

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
40,153
Reaction score
93,069
KATI YA MZAZI NA MTOTO NANI ANATAKIWA KUMFAFUTA MWENZAKE?

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Baadhi ya wadau walinipigia simu katika nyakati tofautitofauti wakiwa na visa binafsi tofautitofauti. Waliniuliza, swali hili; Kati ya mzazi na Mtoto Nani anatakiwa kumtafuta Mwenzake?

Swali Hilo limeulizwa na wazazi ambao wamenipigia simu kuwa Watoto wao waliowazaa hawatafuti mpaka wao(wazazi) wawatafute.
Wazazi wanalalamika.

Baadhi ya vijana na mabinti wakubwa wenye umri wa kujitegemea wamekuwa wakilalamika kuwa Wazazi wao (hasa ambao hawajawalea na kuwatunza) hulalamika na kuwasumbua kwa madai mbalimbali mojawapo ni kutokutafutwa na wazazi.

Na wazazi wakiwatafuta wanawatafuta wakiwa na shida ya pesa. Wazazi hawajali kuhusu maisha ya vijana wao huko mjini wanaishije, wanafanya KAZI gani na mambo mengine kama hayo.

Swali; Nani anatakiwa kumtafuta mwenzake?

Kuna wazazi wa aina Mbili?
1. Wazazi wanaojua na kubeba Majukumu yao.
2. Wazazi wasiojua wala kujali majumuku yao. (Wazazi wakimbia majukumu)

Aina hizo za wazazi ndio zinabeba majibu ya swali letu hapo juu?

Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Hiya ni moja.
Mbili, Mtoto usiyemlea sio mtoto wako hata kama ulimzaa wewe au ana vinasaba na wewe.
Mfano, Taikon Nikimzalisha binti alafu nikamtelekeza na mtoto. Yule mtoto hatakuwa wangu. Nature haitambui mambo ya DNA wala sijui Damu. Nature haitambui hivyo.

Undugu ni suala la kisaikolojia zaidi linalojengwa na mahusiano ya watu.
Mfano, wewe unaweza kufikiri mtu unayeishi naye ni ndugu wa damu kwa kuwa uliambiwa hivyo na mmekua wote. Lakini ikipimwa DNA unaweza kushtushwa na majibu. Halikadhalika na mzazi kwa mtoto.
Mama aliyejifungua mtoto ukimbadilishia mtoto bila ya eye kujua. Ukampa mtoto mwingine atamchukulia huyo mtoto kama wake na Mtoto akikua atamchukulia huyo mama ni mamaake mzazi wakati sivyo.

Nazungumzia Mahusiano baina ya mzazi na mtoto.

Mtoto ni Yule uliyemlea, ukamtunza na ukajenga mahusiano naye. Huyo ni mtoto wako. Hii inaenda sawa na mzazi ni Yule aliyekulea, kukutunza na kukupa mafunzo.

Nani anatakiwa amtafute mwenzake?

Kimsingi Mzazi ndiye anatakiwa kuwa Wakwanza kumtafuta mtoto wake.

Mzazi ni Mwalimu!
Je wakati ulipomzaa mtoto wako ulimfundisha mtoto wako vyema?
Je ulipomzaa mtoto wako ulikuwa ukimtafuta?

Au ndio Ile umezaa kama mnyama ukamtelekeza mtoto huko. Hujui anakula nini, anavaa nini, analala wapi, anasomaje. Hujui na hukutaka kujua.

Lakini utasema ulikuwa unatamani sana kumtafuta mtoto wako sema mazingira yalikubana.

Kama unaelewa mazingira yanaweza kumbana mtu hata akatelekeza mtoto wa kumzaa, iweje umlaumu mtoto wako uliyemtelekeza kwa kutokukutafuta? Sababu hizohizo zilizokuzuia kutomtafuta muelewe mtoto wako uliyemtelekeza naye anasababu zake za kutokukutafuta.

Hukumtafuta mtoto wako. Unatakaje yeye akutafute kwa kigezo cha kuwa wewe ni babaake? Kwani yeye hakuwa mtoto wako?

Ulipomtelekeza mtoto wako ulitaka Nani amfundishe na kufanya wajibu wako?

Mwenye jukumu la kumtafuta mwenzake ni Mzazi.
Wazazi waliowalea watoto wao vizuri, waliokuwa wanawatafuta watoto wao wakiwa wadogo. Watoto wakikua nao watawatafuta tuu.

Mzazi mlezi. Yaani mzazi aliyekuzaa akakulea ni mwalimu asiyestaafu.
Hataona shida kumfuatilia mtoto wake ambaye ni mwanafunzi na kumkumbusha mafundisho aliyompa.

Sasa Mzazi haukuwa mlezi. Mtoto akikua unamtafuta wa nini?
Unataka nini kutoka kwake, unataka akutafute kama nani?
Ulimfundisha akutafute? Au ulitaka jamii imfundishe akutafute wewe?

Umemuachia mtoto mjomba au bibi au ndugu yako yoyote. Umepotea jumla. Alafu mtoto amekua unataka akutafute. Hivi kichwani zinachaji kweli?

Unaleta Excuse, unafikiri mtoto hatakuwa na excuse ziwe za kweli au makusudi.
Oooh! Maisha yalikuwa magumu, ooh! Baba au ndugu wa Baba walinifukuza Mama yako hawakutaka nikuone mwanangu. Kwahiyo?

Ukitaka kutafutwa na watoto wako, watafute wewe Kwanza. Wajifunze kutoka kwako.
Sio uwe litegaji au mpuuziaji, kwa maneno atanitafuta. My friend watoto wa siku hizi hawaendeshwi na maneno ya kizamani yasiyo na kichwa wala miguu.

Kauli ya mzazi no mzazi kama excuse ya kukimbia uwajibikaji ni kauli za Karne za nyuma Sana. Kwa sasa hazifanyi KAZI

Acha nipemzike sass

Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
 
Ile formula ya kulea vizuri mtoto wa mwingine kwamba atakapobarikiwa kazi kimaisha atakukumbuka,si ya kweli kwa waliowengi.
Ni vizuri kulea watoto katika upendo hadi kufikia umri wa kujitegemea.
Lakini si kweli pia kwamba mtoto wa kumzaa usipomlea au kumtafuta huko aliko;basi usitegemee yeye kukutafuta uliko.Ile silika ya mtoto na mzazi haifi kwa kutokuonana maana anajua yeye ni matokeo ya kuzaliwa na mzazi.kama hatumii madawa ya kulevya kuna siku anastakiwa na mawazo yake kutaka kuwaona wazazi.ndo maana toto la kiume linaanza kumsumbua mamake baba yuko wapi.silika ndani ya babake inamsumbua.Nakubaliana na wewe kulea watoto kwa upendo ni mhimu sana sana wakati huu hata kama huna fedha watoto wajua,wanachohitaji ni upendo ndo bima yao.
 
Ni kweli usipolea mtoto bond itatoka wapi?hizo nguvu za kukupigia simu atazitoa wapi?
Binafsi huwa sikumbuki kuwa kuna baba inabidi nimpigie simu mana hajawahi kunihudumia kama mwanae,yeye akipiga simu jua tu anaomba ela
Nikiwa nayo nampa kama sina namjibu sina imeisha hiyo!
Haya mambo yanaumiza sana watoto ni vile wazazi hawajui tu!
 
Pole lakini hata ile kumtumia kidogo ulichonacho ni kwa sababu ya silika kwamba yuko baba aliyekuzaa na baba ni mmoja.
 
Ni kweli usipolea mtoto bond itatoka wapi?hizo nguvu za kukupigia simu atazitoa wapi?
Binafsi huwa sikumbuki kuwa kuna baba inabidi nimpigie simu mana hajawahi kunihudumia kama mwanae,yeye akipiga simu jua tu anaomba ela
Nikiwa nayo nampa kama sina namjibu sina imeisha hiyo!
Haya mambo yanaumiza sana watoto ni vile wazazi hawajui tu!
Pole sana Mkuu. Ila hongera hata kwa Moyo huo
 
Wazazi wengi wanazaa watoto ili waje kuwabebesha mzigo wa kuwahudumia baadae na sio kwa nia ya kuijaza dunia. Watu wengi wakiona simu ya mzazi wanaanza kujiuliza mzinga wa nini tena huu? Mbaya zaidi wazazi wengi hawataki kujua mtoto anaishije huko aliko wanachojali ni maokoto. Wazazi wajue kuwa siku hizi mtoto anamaliza chuo na invoice ya HESLB huku kukiwa na mambo mengine mengi yanayohitaji hela. Utakuta mtoto ni mwalimu tu ila wazazi wanapiga kambi kwenye mshahara wake kama vile wanafanya kazi wao.
 
KATI YA MZAZI NA MTOTO NANI ANATAKIWA KUMFAFUTA MWENZAKE?

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Baadhi ya wadau walinipigia simu katika nyakati tofautitofauti wakiwa na visa binafsi tofautitofauti. Waliniuliza, swali hili; Kati ya mzazi na Mtoto Nani anatakiwa kumtafuta Mwenzake?

Swali Hilo limeulizwa na wazazi ambao wamenipigia simu kuwa Watoto wao waliowazaa hawatafuti mpaka wao(wazazi) wawatafute.
Wazazi wanalalamika.

Baadhi ya vijana na mabinti wakubwa wenye umri wa kujitegemea wamekuwa wakilalamika kuwa Wazazi wao (hasa ambao hawajawalea na kuwatunza) hulalamika na kuwasumbua kwa madai mbalimbali mojawapo ni kutokutafutwa na wazazi.

Na wazazi wakiwatafuta wanawatafuta wakiwa na shida ya pesa. Wazazi hawajali kuhusu maisha ya vijana wao huko mjini wanaishije, wanafanya KAZI gani na mambo mengine kama hayo.

Swali; Nani anatakiwa kumtafuta mwenzake?

Kuna wazazi wa aina Mbili?
1. Wazazi wanaojua na kubeba Majukumu yao.
2. Wazazi wasiojua wala kujali majumuku yao. (Wazazi wakimbia majukumu)

Aina hizo za wazazi ndio zinabeba majibu ya swali letu hapo juu?

Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Hiya ni moja.
Mbili, Mtoto usiyemlea sio mtoto wako hata kama ulimzaa wewe au ana vinasaba na wewe.
Mfano, Taikon Nikimzalisha binti alafu nikamtelekeza na mtoto. Yule mtoto hatakuwa wangu. Nature haitambui mambo ya DNA wala sijui Damu. Nature haitambui hivyo.

Undugu ni suala la kisaikolojia zaidi linalojengwa na mahusiano ya watu.
Mfano, wewe unaweza kufikiri mtu unayeishi naye ni ndugu wa damu kwa kuwa uliambiwa hivyo na mmekua wote. Lakini ikipimwa DNA unaweza kushtushwa na majibu. Halikadhalika na mzazi kwa mtoto.
Mama aliyejifungua mtoto ukimbadilishia mtoto bila ya eye kujua. Ukampa mtoto mwingine atamchukulia huyo mtoto kama wake na Mtoto akikua atamchukulia huyo mama ni mamaake mzazi wakati sivyo.

Nazungumzia Mahusiano baina ya mzazi na mtoto.

Mtoto ni Yule uliyemlea, ukamtunza na ukajenga mahusiano naye. Huyo ni mtoto wako. Hii inaenda sawa na mzazi ni Yule aliyekulea, kukutunza na kukupa mafunzo.

Nani anatakiwa amtafute mwenzake?

Kimsingi Mzazi ndiye anatakiwa kuwa Wakwanza kumtafuta mtoto wake.

Mzazi ni Mwalimu!
Je wakati ulipomzaa mtoto wako ulimfundisha mtoto wako vyema?
Je ulipomzaa mtoto wako ulikuwa ukimtafuta?

Au ndio Ile umezaa kama mnyama ukamtelekeza mtoto huko. Hujui anakula nini, anavaa nini, analala wapi, anasomaje. Hujui na hukutaka kujua.

Lakini utasema ulikuwa unatamani sana kumtafuta mtoto wako sema mazingira yalikubana.

Kama unaelewa mazingira yanaweza kumbana mtu hata akatelekeza mtoto wa kumzaa, iweje umlaumu mtoto wako uliyemtelekeza kwa kutokukutafuta? Sababu hizohizo zilizokuzuia kutomtafuta muelewe mtoto wako uliyemtelekeza naye anasababu zake za kutokukutafuta.

Hukumtafuta mtoto wako. Unatakaje yeye akutafute kwa kigezo cha kuwa wewe ni babaake? Kwani yeye hakuwa mtoto wako?

Ulipomtelekeza mtoto wako ulitaka Nani amfundishe na kufanya wajibu wako?

Mwenye jukumu la kumtafuta mwenzake ni Mzazi.
Wazazi waliowalea watoto wao vizuri, waliokuwa wanawatafuta watoto wao wakiwa wadogo. Watoto wakikua nao watawatafuta tuu.

Mzazi mlezi. Yaani mzazi aliyekuzaa akakulea ni mwalimu asiyestaafu.
Hataona shida kumfuatilia mtoto wake ambaye ni mwanafunzi na kumkumbusha mafundisho aliyompa.

Sasa Mzazi haukuwa mlezi. Mtoto akikua unamtafuta wa nini?
Unataka nini kutoka kwake, unataka akutafute kama nani?
Ulimfundisha akutafute? Au ulitaka jamii imfundishe akutafute wewe?

Umemuachia mtoto mjomba au bibi au ndugu yako yoyote. Umepotea jumla. Alafu mtoto amekua unataka akutafute. Hivi kichwani zinachaji kweli?

Unaleta Excuse, unafikiri mtoto hatakuwa na excuse ziwe za kweli au makusudi.
Oooh! Maisha yalikuwa magumu, ooh! Baba au ndugu wa Baba walinifukuza Mama yako hawakutaka nikuone mwanangu. Kwahiyo?

Ukitaka kutafutwa na watoto wako, watafute wewe Kwanza. Wajifunze kutoka kwako.
Sio uwe litegaji au mpuuziaji, kwa maneno atanitafuta. My friend watoto wa siku hizi hawaendeshwi na maneno ya kizamani yasiyo na kichwa wala miguu.

Kauli ya mzazi no mzazi kama excuse ya kukimbia uwajibikaji ni kauli za Karne za nyuma Sana. Kwa sasa hazifanyi KAZI

Acha nipemzike sass

Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
Mimi kbsa hapo....mzee wangu anasubiri nimtafute na ingawa yeye hanipi time kabisa isitoshe nimekuwa na single parent mpk hapa nilipofika.
 
Wazazi wengi wanazaa watoto ili waje kuwabebesha mzigo wa kuwahudumia baadae na sio kwa nia ya kuijaza dunia. Watu wengi wakiona simu ya mzazi wanaanza kujiuliza mzinga wa nini tena huu? Mbaya zaidi wazazi wengi hawataki kujua mtoto anaishije huko aliko wanachojali ni maokoto. Wazazi wajue kuwa siku hizi mtoto anamaliza chuo na invoice ya HESLB huku kukiwa na mambo mengine mengi yanayohitaji hela. Utakuta mtoto ni mwalimu tu ila wazazi wanapiga kambi kwenye mshahara wake kama vile wanafanya kazi wao.

Inasikitisha Sana
Jamii yetu lazima tubadilike
 
Back
Top Bottom