Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
-
- #21
Mimi kbsa hapo....mzee wangu anasubiri nimtafute na ingawa yeye hanipi time kabisa isitoshe nimekuwa na single parent mpk hapa nilipofika.
Bibi yangu Huwa ananiomba sana nimtfute mzee wangu...Mimi Sina kinyongo na mzee wangu ila tu huo moyo wa kumtfuta ndo bado Sina mzeePole sana Mkuu.
Fanya ikiwa moyo wako ndio unakuwa na amani
Bibi yangu Huwa ananiomba sana nimtfute mzee wangu...Mimi Sina kinyongo na mzee wangu ila tu huo moyo wa kumtfuta ndo bado Sina mzee
Sawa mkuuPole sana Mkuu.
Ndio maana mimi ni Miongoni mwa watu wanaokataa kuwa Damu ni nzito kuliko Maji.
Undugu ni ishu ya mindset na saikolojia
Kweli kabisaaaHatari Sana.
Lakini wajibu na majukumu kwa mzazi na mtoto ni Jambo linalotakiwa
Acha tu ila sio rahisi mana ukiwaza matukio uliyopigwa na mzazi unatamani hata umblock tuPole sana Mkuu. Ila hongera hata kwa Moyo huo