luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Ww unafikkri wana utopolo watachangia kitu leo, kwa kile.walicho ambulia jana, kule ni kuvuliwa nguo hadharan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simple n Xcluziv!Weeee Simba hii jezi kali balaaa
Utopolo mbna awacomment jmniHuu wa buluu ndio hatari zaidi
Hawajaamka tangu jana,supu imetiwa naziUtopolo mbna awacomment jmni
NakaziaYanga wametambulisha jezi za aina tatu ila wanang'ang'ania kuvaa jezi zile nyeusi kama vile zile nyingine hawajazitambulisha wao ni za gwambina yanga kweli akili kisoda kuanzia viongozi mpka mashabiki wa yanga wanavaa zile nyeusi jezi mtambulishe wenyewe halafu mzikatae.
Jezi zina rangi rangi rainbow ya mashoga
Huu wa buluu ndio hatari zaidi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] historia FC akiwa na utetezi wa kuokoteza, huku akitoa chozi. Weraaaaaaaaahhonestly kilichofanyika kwa yanga ni ubunifu wa nini kikae kwenye jezi.. hasa jezi ya kijani na nyeusi.. lakini kwa simba huo si ubunifu, wamefanya kupachika rangi tu... hao VS ni online designer wa football kit.. unafanya tu kupachika rangi kwenye designing... YANGA ni pure design.. so yanga wametisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usilie sasa, hebu futa machozi afu relaaaaaaxxxxJezi zina rangi rangi rainbow ya mashoga
mpaka kiama.Yanga daima
Uzi wa Bluee ni balaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!