Kati ya Simba na Yanga nani ameua kwenye jezi?

Kati ya Simba na Yanga nani ameua kwenye jezi?

IMG_1442.jpg

Kudate na Utopolo kazi
 

Attachments

  • IMG_1442.jpg
    IMG_1442.jpg
    39 KB · Views: 4
Ninachoona ni kuwa hili suala linathibitisha kitu ambacho tunakiona sehemu nyingi nchini ni kuwa Watanzania uwezo wetu wa kufikiria na kubuni uko chini sana. Hili linaweza kuwa linachangiwa na elimu yetu, elimu hii inatutosheleza kwa mahitaji yetu, ila tukiwekwa tu na kulinganishwa na wenzetu ndiyo uwezo wetu unapoonekana uko chini.

Ubunifu we vitu kama jezi na logo inabidi uendane na falsafa iliyoko nyuma ya brand husika na inabidi lifikiriwe kwa umakini mkubwa, siyo suala la kupendeza tu au mbunifu kujua photoshop, tena photoshop aliyojifunzia kwa video za youtube.
 
Back
Top Bottom