Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
kama mnanunua design, sawa kanunueni ubunifu wa majengo 😁😁😁.... YANGA ni pure design.. so yanga wametisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama mnanunua design, sawa kanunueni ubunifu wa majengo 😁😁😁.... YANGA ni pure design.. so yanga wametisha
Uzi wa Bluee ni balaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Wewe ndo shogaJezi zina rangi rangi rainbow ya mashoga
Weka jezi hapa tulinganisheHaya njooni tuchambue, nani ameua zaidi?
Byut byut mwende kwenye maonesho ya miss Tanzaniahonestly kilichofanyika kwa yanga ni ubunifu wa nini kikae kwenye jezi.. hasa jezi ya kijani na nyeusi.. lakini kwa simba huo si ubunifu, wamefanya kupachika rangi tu... hao VS ni online designer wa football kit.. unafanya tu kupachika rangi kwenye designing... YANGA ni pure design.. so yanga wametisha
😆😆😆 Mkuu itabidi uhame huko kazuramimba ..mbona ume attach jezi ya zaman mnooo
Hata wewe piaWewe ndo shoga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] historia FC akiwa na utetezi wa kuokoteza, huku akitoa chozi. Weraaaaaaaaah
Mmepigwa za uso.
Angalia post 5 za mwanzo utapata majibuWeka jezi hapa tulinganishe
Hizo nyeusi ni za timu gani?Yanga wametambulisha jezi za aina tatu ila wanang'ang'ania kuvaa jezi zile nyeusi kama vile zile nyingine hawajazitambulisha wao ni za gwambina yanga kweli akili kisoda kuanzia viongozi mpka mashabiki wa yanga wanavaa zile nyeusi jezi mtambulishe wenyewe halafu mzikatae.