Kati ya Simba na Yanga nani ameua kwenye jezi?

honestly kilichofanyika kwa yanga ni ubunifu wa nini kikae kwenye jezi.. hasa jezi ya kijani na nyeusi.. lakini kwa simba huo si ubunifu, wamefanya kupachika rangi tu... hao VS ni online designer wa football kit.. unafanya tu kupachika rangi kwenye designing... YANGA ni pure design.. so yanga wametisha
 
Yanga wametambulisha jezi za aina tatu ila wanang'ang'ania kuvaa jezi zile nyeusi kama vile zile nyingine hawajazitambulisha wao ni za gwambina yanga kweli akili kisoda kuanzia viongozi mpka mashabiki wa yanga wanavaa zile nyeusi jezi mtambulishe wenyewe halafu mzikatae.
 
Nakazia
 
Kiukweli kabisa Yanga wana jezi kali na zenye ubunifu mkubwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] historia FC akiwa na utetezi wa kuokoteza, huku akitoa chozi. Weraaaaaaaaah

Mmepigwa za uso.
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…