AIDS hauwezi kukatwa mguu, ila sijasema sio noma!Kisukari (type II) ni reversible na unaweza kurudi kwenye remission ukaendelea maisha yako bila dawa hadi unakufa. Wewe ni kula vizuri, kufanya mazoezi, kufunga etc. Kwa mtizamo wangu, AIDS ni mbaya zaidi
AIDS hauwezi kukatwa mguu, ila sijasema sio noma!
Ngwengwe, unakunywa Pepsi 5 kama hauwezi kunywa bia Tano, baada ya kushiba wali, hayo ndio maisha yetu ya kawaida... Waswahili tunatafutia tumboSio kila mwenye kisukari anakatwa mguu. Ukiona mtu mwenye kisukari (aina ya pili) amekatwa mguu huyo kuna kitu amekizembea na ndio wale wameshajikatia tamaa wanaishi maisha ya kawaida.
Kisukari type II kinapona (remission) na masharti yake ni maisha haya haya ya kawaida ambayo watu wenye afya nzuri wanayafuata. Still nachagua DM Type II.
Kumbuka pia ukiwa na HIV bado usipobadilisha mtindo wa maisha una chance kubwa ya kupata Kisukari kuliko mtu asiye na HIV. Kuna baadhi ya dawa za ARV zinaongeza mafuta mwilini na zinaathiri viungo vya mwili. Kwa hiyo ni bora Kisukari aina ya pili unaweza ku reverse au kukikontrol vizuri bila shida.Ngwengwe, unakunywa Pepsi 5 kama hauwezi kunywa bia Tano, baada ya kushiba wali, hayo ndio maisha yetu ya kawaida... Waswahili tunatafutia tumbo
Siku zishapita karibia 4 mkuu. Nipe majibu tuUsingoje dalili kama ni ndani ya saa 48 wahi PEPP
Hawa watu wanafanya mchezo na Umeme...Ngwengwe ni habari nyingine aiseee msichukulie poa, imepata uafadhali kidogo baada ya ARV, ila ya miaka ya 2002 kushuka chini watu walikuwa wanazikwa na kilo 10. Sitaki kukumbuka miaka ile, mgonjwa alikuwa anafungiwa ndani asionwe na watu.
Yeah, A.K.A mimiNgwengwe ni habari nyingine aiseee msichukulie poa, imepata uafadhali kidogo baada ya ARV, ila ya miaka ya 2002 kushuka chini watu walikuwa wanazikwa na kilo 10. Sitaki kukumbuka miaka ile, mgonjwa alikuwa anafungiwa ndani asionwe na watu.
Kwisha weweπππNje ya mada.
hivi baada ya tendo inachukua muda gani ili dalili za UKIMWI zianze kuonekana maana daah
aah usiseme hivyo mkuu ππKwisha weweπππ
Kapime ila kuwa tayari kwa loloteSiku zishapita karibia 4 mkuu. Nipe majibu tu