Kati ya waislam na Allah nani muongo kwenye hili?

Maswali kama haya ndiyo yanapima ukweli wa Quran.Hakuna muislam atakayekujibu hapa.Wataleta hoja tofauti tofauti ili wakuchanganye uhame kwenye msingi wa swali lako.Na hii ndiyo iliyofanya waislamu wampe uprofesa mazinge.Mzee wa kuhamisha magoli
 
Majibu hayo ndiyo yamefanya waislam wampe uprofesa 🤣🤣
 
Quran imekuja mwisho baada ya zaburi,taurati na injili walizopewa waisrael.baada ya kuona huo uharibifu akaja na huo muhuri wa Quran usiweza kugeuzwa
Kwa hiyo sasa allah ndo kajipanga sio?Alikuwa hakujipanga?Au hakujua kama vitaharibiwa,baada ya kuharibiwa ndo kashtuka,kwo kajipanga sasa,sio?Huoni unadhihirisha udhaifu mkubwa wa allah?Kwa sifa hizi ni wazi huyo sio MUNGU.Hakika nakuambia
 
Kabla ya mtume Muhammad kuja walikuja mitume mingi mwingine ilikuwa ya wayahudi na wengine mataifa mengine.ila wayahudi ndo wametoa mitume na manabii wengi .Sasa Kila wanalopewa KUTOKA Kwa Mungu wao wanalikataa .vitabu wanavikataa.ndipo mungu akaamisha utume kwenda Kwa waarabu.na kumpa kitabu chake ambacho ni quran.kilichobeba mafundisho ya zaburi,taurati na injili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…