Kati ya Wizara ya Fedha na TRA mmoja kadanganya mahesabu kwenye ripoti ya mapato 2022/23

Mleta mada jifunze kuwasilisha takwimu za "budget analysis" haziletwi kiaina hiyo.

Bofya chini hapo ujifune, Ingawa hii ni kwa ajili ya "budget analysis" za makampuni lakini itakupa uelewa:

Nashukuru Hila nipe majibu kwa maswali yangu utakuwa umetuelimisha wengi Karibu
 
Mkuu target ya taasisi ya makusanyo ikisha pitishwa na Bunge haibadiliki.Na kama wangebadilisha lazima wa acknowledge kwenye taarifa.
Kwa hiyo wapongezwe Kwa kuvuka malengo..

Unaweza ingia kwenye kurasa zao kuuliza which is which?
 
Nashukuru Hila nipe majibu kwa maswali yangu utakuwa umetuelimisha wengi Karibu
Siwezi kuyajibu maswali yako kama haujaweka takwimu zako kwa mfumo unaoeleweka.

Labda nikusaidie kivingine:

1 a) makadirio ya mapato ???? 0(projected)
b) makadirio ya matumizi???? (projected)
c) Tofauti

2 a) Mapato yaliyopatikana ??? (Actuals)
b) Matumizi yaliyotumika????? (Acttuals)

Ndugu waziri kasema mapato yaliokusanya na Mamlaka ya mapato ni Shilingi Trilioni 18.81 Kuta julai 2022 Hadi April 2023 uku Ripoti ya TRA makusanyo ya kipindi hicho hicho ni Trilioni 20.00 tatizo ni lipi kukawa na utofauti Nieleweshe hapo
 
Kwa hiyo wapongezwe Kwa kuvuka malengo..

Unaweza ingia kwenye kurasa zao kuuliza which is which?
Ni makosa tu sometime hutokea kulingana na uharaka wa taarifa,mfano hiyo taarifa ya utekelezaji aliyoisoma Waziri ili uweze kuiandaa inakubidi kupewa taarifa na taasisi Mama (TRA) kisha ndio uandae.

Hivyo,basi kama ni makosa walifanya watu wa TRA wakati wanatoa hizo taarifa na sio Wizara ya Fedha.Hata hivyo taarifa ya Mwaka ndio taarifa complete.
Hizo taarifa za kwenda Bungeni huwa tunazindaa kwa zimamoto sana and under pressure sana-kukidhi mahitaji ya walaji.
 
Ndugu waziri kasema mapato yaliokusanya na Mamlaka ya mapato ni Shilingi Trilioni 18.81 Kuta julai 2022 Hadi April 2023 uku Ripoti ya TRA makusanyo ya kipindi hicho hicho ni Trilioni 20.00 tatizo ni lipi kukawa na utofauti Nieleweshe hapo
Kumbe unaongelea alichosema.

Kwa alichosema siwezi kukijibu. Bajeti ni takwimu siyo maneno.
 
Typing error tuu ila Kuna haters watatumia hii kama kigezo..

Ni vizuri watu wa Serikali wakawa makini kwenye kutunza kumbukumbu..

Ukiingia kwenye tovuti ya TRA utakuta makusanyo ya mwaka 2021/2022 ni tofauti na hayo waliyoonesha kwenye taarifa Yao ya kulinganisha hapo Juu
 
Ndugu waziri kasema mapato yaliokusanya na Mamlaka ya mapato ni Shilingi Trilioni 18.81 Kuta julai 2022 Hadi April 2023 uku Ripoti ya TRA makusanyo ya kipindi hicho hicho ni Trilioni 20.00 tatizo ni lipi kukawa na utofauti Nieleweshe hapo
Mkuu inawezekana wakati taarifa inaandaliwa mwezi ulikuwa hajakwisha,but mara nyingi ukiandika taarifa huwa hatusemi exact tarehe huwa tunachukulia mwezi mzima.
Let say,Waziri anawasilisha taarifa yake tarehe 19 April-ukiandaa taarifa ya makusanyo utasema mapato yaliyokusanywa mpaka April kutokana na wanaopelekewa watahitaji kujua mpaka muda huo-ilihali ili kuisha mwezi April kutakuwa na siku 11/12 bado.
Hope utakuwa umenielewa.
 
Siwezi kuyajibu maswali yako kama haujaweka takwimu zako kwa mfumo unaoeleweka.

Labda nikusaidie kivingine:

1 a) makadirio ya mapato ???? 0(projected)
b) makadirio ya matumizi???? (projected)
c) Tofauti

2 a) Mapato yaliyopatikana ??? (Actuals)
b) Matumizi yaliyotumika????? (Acttuals)
c) Tofauti
😂😂😂😂😂😂
 
Dah hili jibu unajibu wewe? Any way Usiwe unadandia gari kwa mbele Madam
Sijadandia kwa mbele wala kwa nyuma, darsa nililokupa limekuingia.

Huwa sihangaiki na unprofessionalism ikija kwenye takwimu.

Huwa sikisii.
 
Kumbe unaongelea alichosema.

Kwa alichosema siwezi kukijibu. Bajeti ni takwimu siyo maneno.
Nje ya mada: FaizaFoxy Kipindi cha JPM mbona ulikuwa mpizania wa serekari ya ccm/JPM? Tatizo lilikua nini?

Maneno yansemwa mengi juu yako wengine wanasema umesomea maswala kueneza Dini nikweli au maneno ya watu.
 
Sijadandia kwa mbele wala kwa nyuma, darsa nililokupa limekuingia.

Huwa sihangaiki na unprofessionalism ikija kwenye takwimu.

Huwa sikisii.
Sawa Hila Mimi sijakuelewa ulichojibu!
 
Hawa watu wamefaulu vyuoni kwa data za kupika
Mifumo ya kitanzania inabariki uwongo mwingi sana sababu wanaopata nafasi wengi hawajastahili kuwa katika nafasi hizo
 
Nje ya mada: FaizaFoxy Kipindi cha JPM mbona ulikuwa mpizania wa serekari ya ccm/JPM? Tatizo lilikua nini?

Maneno yansemwa mengi juu yako wengine wanasema umesomea maswala kueneza Dini nikweli au maneno ya watu.
Weka ushahidi.

Mimi binafsi sijali serikali ya nani anaefanya vizuri namsifia, anaefanya vibaya naeleza wapi naona anakosea kwa muono wangu.

Mwendazake nimemsifia sana, pitia nyuzi zangu kuhusu yeye. Nilipoona watu wanapotea potea hovyo nikajiogopea na mimi nikawa kimya sana hapa JF.

Magufuli alikuwa na nia njema kwa Tanzania lakini tatizo lake alijimwambafai sana na alilewa madaraka mapema.
 
Back
Top Bottom