Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Acha Mbwembe sema ulichokiona.Mleta mada jifunze kuwasilisha takwimu za "budget analysis" haziletwi kiaina hiyo.
Bofya chini hapo ujifune, Ingawa hii ni kwa ajili ya "budget analysis" za makampuni lakini itakupa uelewa:
Nashukuru Hila nipe majibu kwa maswali yangu utakuwa umetuelimisha wengi KaribuMleta mada jifunze kuwasilisha takwimu za "budget analysis" haziletwi kiaina hiyo.
Bofya chini hapo ujifune, Ingawa hii ni kwa ajili ya "budget analysis" za makampuni lakini itakupa uelewa:
Kwa hiyo wapongezwe Kwa kuvuka malengo..Mkuu target ya taasisi ya makusanyo ikisha pitishwa na Bunge haibadiliki.Na kama wangebadilisha lazima wa acknowledge kwenye taarifa.
Kwa hiyo hoja ni ipi? Uongo wa taarifa au ikoje?Kama adjustments zingekuwepo zingewekwa kwenye report wakati wa usomaji
Siwezi kuyajibu maswali yako kama haujaweka takwimu zako kwa mfumo unaoeleweka.Nashukuru Hila nipe majibu kwa maswali yangu utakuwa umetuelimisha wengi Karibu
Ndugu waziri kasema mapato yaliokusanya na Mamlaka ya mapato ni Shilingi Trilioni 18.81 Kuta julai 2022 Hadi April 2023 uku Ripoti ya TRA makusanyo ya kipindi hicho hicho ni Trilioni 20.00 tatizo ni lipi kukawa na utofauti Nieleweshe hapoSiwezi kuyajibu maswali yako kama haujaweka takwimu zako kwa mfumo unaoeleweka.
Labda nikusaidie kivingine:
1 a) makadirio ya mapato ???? 0(projected)
b) makadirio ya matumizi???? (projected)
c) Tofauti
2 a) Mapato yaliyopatikana ??? (Actuals)
b) Matumizi yaliyotumika????? (Acttuals)
c) Tofauti
Ni makosa tu sometime hutokea kulingana na uharaka wa taarifa,mfano hiyo taarifa ya utekelezaji aliyoisoma Waziri ili uweze kuiandaa inakubidi kupewa taarifa na taasisi Mama (TRA) kisha ndio uandae.Kwa hiyo wapongezwe Kwa kuvuka malengo..
Unaweza ingia kwenye kurasa zao kuuliza which is which?
Kumbe unaongelea alichosema.Ndugu waziri kasema mapato yaliokusanya na Mamlaka ya mapato ni Shilingi Trilioni 18.81 Kuta julai 2022 Hadi April 2023 uku Ripoti ya TRA makusanyo ya kipindi hicho hicho ni Trilioni 20.00 tatizo ni lipi kukawa na utofauti Nieleweshe hapo
Typing error tuu ila Kuna haters watatumia hii kama kigezo..Ni makosa tu sometime hutokea kulingana na uharaka wa taarifa,mfano hiyo taarifa ya utekelezaji aliyoisoma Waziri ili uweze kuiandaa inakubidi kupewa taarifa na taasisi Mama (TRA) kisha ndio uandae.
Hivyo,basi kama ni makosa walifanya watu wa TRA wakati wanatoa hizo taarifa na sio Wizara ya Fedha.Hata hivyo taarifa ya Mwaka ndio taarifa complete.
Hizo taarifa za kwenda Bungeni huwa tunazindaa kwa zimamoto sana and under pressure sana-kukidhi mahitaji ya walaji.
Mkuu inawezekana wakati taarifa inaandaliwa mwezi ulikuwa hajakwisha,but mara nyingi ukiandika taarifa huwa hatusemi exact tarehe huwa tunachukulia mwezi mzima.Ndugu waziri kasema mapato yaliokusanya na Mamlaka ya mapato ni Shilingi Trilioni 18.81 Kuta julai 2022 Hadi April 2023 uku Ripoti ya TRA makusanyo ya kipindi hicho hicho ni Trilioni 20.00 tatizo ni lipi kukawa na utofauti Nieleweshe hapo
Hapana, sijaziona. Nimekusoma tu sijakuelewa, sikuhangaika kuzifunguwa attachments.Hizo attached umeziona?
Nyongeza ya Bajeti ndio nini?Katika ya utekelezwaji wa Bajeti,unaweza fanya adjustment ambazo zinaweza weka target tofauti na ya awali ,ndio maana Huwa Kuna nyongeza ya Bajeti
ππππππSiwezi kuyajibu maswali yako kama haujaweka takwimu zako kwa mfumo unaoeleweka.
Labda nikusaidie kivingine:
1 a) makadirio ya mapato ???? 0(projected)
b) makadirio ya matumizi???? (projected)
c) Tofauti
2 a) Mapato yaliyopatikana ??? (Actuals)
b) Matumizi yaliyotumika????? (Acttuals)
c) Tofauti
Sijadandia kwa mbele wala kwa nyuma, darsa nililokupa limekuingia.Dah hili jibu unajibu wewe? Any way Usiwe unadandia gari kwa mbele Madam
Nje ya mada: FaizaFoxy Kipindi cha JPM mbona ulikuwa mpizania wa serekari ya ccm/JPM? Tatizo lilikua nini?Kumbe unaongelea alichosema.
Kwa alichosema siwezi kukijibu. Bajeti ni takwimu siyo maneno.
Weka ushahidi.Nje ya mada: FaizaFoxy Kipindi cha JPM mbona ulikuwa mpizania wa serekari ya ccm/JPM? Tatizo lilikua nini?
Maneno yansemwa mengi juu yako wengine wanasema umesomea maswala kueneza Dini nikweli au maneno ya watu.