Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #121
Mkuu Lunyungu, kwanza heshima kwako, pili naomba msamaha binafsi kwako, mimi ni miongoni mwa wanajf wabaya kabisa wasio na utu, baada ya zile pm kuhusu hali ya afya yako, waugwana tulitakiwa tufanye follow up, sio tunawasiliana tuu katika uzima!. Pole na thank God uko on line ni ishara tosha ya buheri wa afya.Pasco ulitangaza interest yako lakini wewe uko kazini unasaidia kitu kwa CCM we all noticed na umekataa kukubali majibu ya Lissue ulikuwa very stressed baada ya majibu ya Lissu kuanzia sasa nimeujua u mnazi unalazimisha hoja .Umesomewa kabisa na neno tunapinga na bado ujue CCM walisha jiandaa sasa sijui wewe unalia lia nini mkuu .
Back kwenye mada, nimesoma primary na sekondari enzi za chama kimoja, Mtoto wa Nyerere ni personal friend wangu. Mtoto wa Mkapa ni class mate wangu Tambaza sambamba na Dr. Mwinyi ni school mate. Mtoto wa JK ni personal friend tangu UDSM, hivyo nimekuwa na access kwa Nyerere, Mwinyi, Mkapa na JK. Kama mwandishi ninewafanyia personsl intreview marais wote tena interviwew ya mwisho ya Nyerere nilifanya nae Bern nchini Uswisi na mimi ndio ninayo one and only!. Hivyo ningepata preferential treatment kama ningejiunga CCM!, hata kawilaya nisinge kosa!.
Nilipoendesha kipindi cha Kiti Moto enzi zile, hakuna anaejua kwa nini kipindi kile kiliuwawa!. Mimi ndio najua. Nilijiunga TBC, hakuna anaejua ni kwa nini niliondoka!. Mimi ndie ninaejua!.
Kosa langu kubwa ni kuwa too frank. Ukweli unauma ila una cost!. Mimi umeisha ni cost sana hivyo siogopi kuwaambia Chadema ukweli kwa sababu mnaona kama 2015 ni mbali sana, sasa mimi nawaambia ukweli mchungu kabla, na kama mwendo wenyewe ndio huu!, ni hakika, 2015 mtalia tena!.
Mzee Lunyungu, nakuhakikishia kama kipimo cha kuingia mbinguni/peponi kwa kutofungamana na upande wowote, nakuhakikishia nikifa leo au kesho, mimi ni straight mbinguni!.
Ila pia Chadema ina wanachama, mashabiki, wapenzi na wafuasi ambao wao ni waumini wakiabudu kuwa Chadema is always right, siamini kama nawe ni mmoja wao, hivyo kila anayepingana na Chadema basi ni CCM au katumwa.
Nape, January, Kippi ni marafiki zangu kama alivyo Zitto, JJ. Mnyika, Lissu na Freeman, sambamba na Mtatiro, Jussa na Hamad Rashid. Mimi nasimama kama Pasco wa Jf siko upande wowote, mtakaodhania, endeleeni kudhania!.
Nakuomba Mkuu Lunyungu, tafuta post zangu kuhusu CCM, CUF na Chadema halafu fanya conclussion!.