Katiba inasemaje kama ikitokea Rais na Makamu wake wote wakifa kwa pamoja?

Kwa Mungu kila kitu kinawezekana acha kujifanya unajua kila kitu.

Hivi Katiba imetoa maelezo gani kama ikitokea Mungu ameamua kuwachukua Rais wa JMT na makamu wake wote kwa pamoja kwa siku moja?

Tukio kama hili likitokea kikatiba hali inakuaje ndani ya nchi yetu?

Kama inawezekana familia moja kufiwa na watu zaidi ya watatu kwa pamoja na kwa saa moja,au kampuni au taasisi kufiwa na wafanyakazi wake zaidi ya watano kwa pamoja kwa siku moja. Sasa itashindikanaje Rais wa nchi na makamu wake kufa siku moja? Kwani Mungu ndiye apangae.

Yapi maelekezo ya Katiba yetu ya 1977 kama endapo hili likitokea?

Au ndio tutajua siku hiyo hiyo likitokea
Swali zuri sana... tusubiri wajuzi wa sheria za Tanzania watuambie
 
Itakuwa zamu ya katibu mkuu kiongozi aliyefurushwa(najua kuna wengine wangependa nimuite mstaafu)🤣🤣🤣🤣.
 
Kwa Mungu kila kitu kinawezekana acha kujifanya unajua kila kitu.

Hivi Katiba imetoa maelezo gani kama ikitokea Mungu ameamua kuwachukua Rais wa JMT na makamu wake wote kwa pamoja kwa siku moja?

Tukio kama hili likitokea kikatiba hali inakuaje ndani ya nchi yetu?

Kama inawezekana familia moja kufiwa na watu zaidi ya watatu kwa pamoja na kwa saa moja,au kampuni au taasisi kufiwa na wafanyakazi wake zaidi ya watano kwa pamoja kwa siku moja. Sasa itashindikanaje Rais wa nchi na makamu wake kufa siku moja? Kwani Mungu ndiye apangae.

Yapi maelekezo ya Katiba yetu ya 1977 kama endapo hili likitokea?

Au ndio tutajua siku hiyo hiyo likitokea
Mzee wa Galilaya anachukua.
 
Waziri mkuu hayupo kwenye line of power.Kama Raisi na Makamu wote wakifa, basi anayefata in line of power ni Spika na huyo nayeye akifa anafata Spika....mpaka wamalizike viongozi wa mihimili mi3 ya serikali ndio labda hao wengine kina Wazir mkuu wafate ila kikatiba haijawekwa waziri...so kwa sasa ni Raisi >Makamu wa Raisi> Spika > Jaji Mkuu
Unatumia kifungu kipi cha sheria mkuu ?
 
Back
Top Bottom