Katiba inasemaje kama ikitokea Rais na Makamu wake wote wakifa kwa pamoja?

Anafata waziri mkuu ...
No, ni Jaji Mkuu

Kama naye atakufa siku moja na Rais na Deputy wake, anayefuata kikatiba ni Spika wa Binge anaweza kushika madaraka ya urais ktk kipindi cha mpito uchaguzi mwingine ukiandaliwa...

Ikitokea wote wanakufa siku moja; Rais, Makamu, Chief Justice na Spika wa Binge basi PM hapo anashika madaraka ya Urais...

Ikitokea wote hawa wote wanakufa siku moja i.e Rais, makamu, Chief Justice, Spika wa bunge na PM, hapo katiba imenyamaza kimya....

Nadhani haraka haraka Itaundwa serikali ya mpito chini ya Jeshi na kuandaa uchaguzi mwingine ili kupata uongozi wa kiraia...

Hata hivyo, ni rare sana tukio kama hili kutokea. Na sina hakika kama kuna nchi duniani imewahi kupatwa na kisanga cha namna hii...!!
 
Somo la uraia siku hizi halifundishwi mashuleni??
20210908_131604.jpg
 
Hivi ndiyo katiba inavyosema au ni mtazamo wako binafsi ?
 
Kwa Mungu kila kitu kinawezekana acha kujifanya unajua kila kitu.

Hivi Katiba imetoa maelezo gani kama ikitokea Mungu ameamua kuwachukua Rais wa JMT na makamu wake wote kwa pamoja kwa siku moja?

Tukio kama hili likitokea kikatiba hali inakuaje ndani ya nchi yetu?

Kama inawezekana familia moja kufiwa na watu zaidi ya watatu kwa pamoja na kwa saa moja,au kampuni au taasisi kufiwa na wafanyakazi wake zaidi ya watano kwa pamoja kwa siku moja. Sasa itashindikanaje Rais wa nchi na makamu wake kufa siku moja? Kwani Mungu ndiye apangae.

Yapi maelekezo ya Katiba yetu ya 1977 kama endapo hili likitokea?

Au ndio tutajua siku hiyo hiyo likitokea
Kwa uelewa wangu mdogo Nchi itakuwa chini ya waziri mkuu
 
Kwa muda wa miezi 3 anashikilia jaji mkuu kwanza alafu wakatu huo mkuu wa majeshi akiwa anashauriana na jaji namna ya kuanza mchakato wa kupata wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kumbe inawezekana, ngoja tuone nchi ikitawaliwa na mwenye file milembe
🚶🏾‍♂️
 
Spika...
Google katiba ujisomee usiwe mvivu kusoma unauliza alafu kiutaaata!!
 
Kwa Mungu kila kitu kinawezekana acha kujifanya unajua kila kitu.

Hivi Katiba imetoa maelezo gani kama ikitokea Mungu ameamua kuwachukua Rais wa JMT na makamu wake wote kwa pamoja kwa siku moja?

Tukio kama hili likitokea kikatiba hali inakuaje ndani ya nchi yetu?

Kama inawezekana familia moja kufiwa na watu zaidi ya watatu kwa pamoja na kwa saa moja,au kampuni au taasisi kufiwa na wafanyakazi wake zaidi ya watano kwa pamoja kwa siku moja. Sasa itashindikanaje Rais wa nchi na makamu wake kufa siku moja? Kwani Mungu ndiye apangae.

Yapi maelekezo ya Katiba yetu ya 1977 kama endapo hili likitokea?

Au ndio tutajua siku hiyo hiyo likitokea
Tema chini! Sabufa itahama jengo!
 
Nakumbuka nilisoma civics na nyuma ya kitabu kulikua na katiba na maswali haya yote yalikua na majibu
 
Back
Top Bottom