Katiba inasemaje kama ikitokea Rais na Makamu wake wote wakifa kwa pamoja?

Swali zuri sana... tusubiri wajuzi wa sheria za Tanzania watuambie
 
Itakuwa zamu ya katibu mkuu kiongozi aliyefurushwa(najua kuna wengine wangependa nimuite mstaafu)🤣🤣🤣🤣.
 
Mzee wa Galilaya anachukua.
 
Unatumia kifungu kipi cha sheria mkuu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…