Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Ibrahim Msabaha siyo balozi?..sina kumbukumbu ya mabalozi wa aina hiyo.
..sijui wewe mwenzangu unamkumbuka balozi yeyote aliyeteuliwa halafu asiwakilishe nchi, au kuwa mkuu wa idara wizara ya mambo ya nje?
..ila wako watumishi wa wizara ya mambo ya nje ambao wako seconded maeneo mengine ambao nadhani huwa wanaendelea kupanda ngazi kama foreign service officers.
Aah poleHii ni rasimu ya Warioba siyo katiba ya sasa inavyosema
ALIETUKOSEA NI MAREHEM.MKAPA NA JKWatusi wanazidi kujiimarisha ndani ya ikulu.
Ibrahim Msabaha siyo balozi?
Kifupi wewe fahamu tu, kikatiba, kisheria na kikanuni Rais Magufuli kashemka vibaya.
Kaokota tu mtu huko Lumumba na kumpa cheo cha juu serikalini.
Nadhani aliteuliwa kuwa Balozi Kwanza ili atimize matakwa ya kuwa Mtumishi wa serikali na baadae kuteuliwa kuwa katibu kiongozi.
Ok...Dr.Msabaha nakumbuka alikuwa chuo cha diplomasia, baadae akawa katibu mkuu wizara ya mambo ya nje, halafu akagombea ubunge. inawezekana utumishi wake chuo cha diplomasia ndio uliopelekea akateuliwa kuwa balozi.
Naomba utuwekee ibara ya katiba ya JMT inayotoa sifa za mtu anayestahili kuteuliwa kuwa CS
Mabalozi wote kwa maana ya waliopangiwa vituo na ambao hawajapangiwa vituo?Nyani Ngabu,
..hapo chini unaweza kupata majina ya mabalozi wa Tanzania.
..nimejaribu ku-search jina la Dr.Ibrahim Msabaha sijalipata.
Ok.
Still, Magufuli hajavunja katiba kwa kumteua Dkt. Bashiru.
Natambua kuna watu hawampendi tu Magufuli kwa sababu anuai.
Hivyo, chochote kile akifanyacho, kwao ni kibaya tu.
Vilevile natambua kuna wengine hawajapendezwa na uteuzi huo kwa sababu mteule alikuwa katibu mkuu wa chama kilichopo madarakani.
Lakini kusema kwamba uteuzi huo umevunja katiba, ni kusema uongo.
Yah, nakuunga mkono, hajavunja katiba.Ok.
Still, Magufuli hajavunja katiba kwa kumteua Dkt. Bashiru.
Natambua kuna watu hawampendi tu Magufuli kwa sababu anuai.
Hivyo, chochote kile akifanyacho, kwao ni kibaya tu.
Vilevile natambua kuna wengine hawajapendezwa na uteuzi huo kwa sababu mteule alikuwa katibu mkuu wa chama kilichopo madarakani.
Lakini kusema kwamba uteuzi huo umevunja katiba, ni kusema uongo.
Hii pia siyo hoja kwa sababu kuwa kwako mtumishi katika chama haikuondolei haki ya kuhudumu kama mtumishi wa umma...na wewe lazima ukiri kwamba una mapenzi makubwa na Magufuli.
..kwa mfano, huoni tatizo lolote kwamba Dr.Bashiru alikuwa mwandamizi CCM, halafu anapelekwa kuwa mwandamizi ktk civil service.
Hahaaaaa...na wewe lazima ukiri kwamba una mapenzi makubwa na Magufuli.
..kwa mfano, huoni tatizo lolote kwamba Dr.Bashiru alikuwa mwandamizi CCM, halafu anapelekwa kuwa mwandamizi ktk civil service.
Sijafuatilia kiapo chake ila nijuavyo Balozi ni mtumishi wa serikali, mara nyingi tumeona watumishi wa serikali wana teuliwa kuwa wabunge na kuteuliwa kuwa mawaziri muda huo huo na kesho yake wanaapishwa na Rais kuwa mawaziri kwa kiapo kimoja...hebu tusaidie kujua kama Dr.Bashiru aliapishwa mara mbili. kwanza kuwa balozi, halafu kuwa Katibu Mkuu Kiongozi.
cc Nyani Ngabu
Kwamba ibara ya 116 ya katiba ya JMT inatamka hivi unavyosema? Na huoni aibu kuweka hii post ukiwa umejigamba?Hebu soma post #12 hapo juu...
Ukiisha soma, je wewe unaweza kutuambia hii ina maana gani?
".....kutakuwa na Katibu Mkuu Kiongozi atakayeteuliwa toka miongoni mwa watumishi waandamizi walio katika Utumishi Wa umma...."
1. Huyu Bashiru Ally Lyakurwa, alikuwa ni afisa mwandamizi aliye katika Utumishi Wa umma?
2. Au Je, kuna kipengere cha katiba kinachoi - counter attack IBARA hii ya katiba ili kumpa Rais nguvu/mamlaka ya kumteua huyu ndugu kushika wadhifa huo kinyume na mwongozo na maelekezo ya ibara hii ya katiba...?
NOTE: By the way, kumbuka kuwa huu ni mjadala tu wa kujengeana ufahamu. Hakuna mtu mwenye tatizo binafsi na Ndg Bashiru Ally Lyakurwa au Rais John Pombe Magufuli...
Na in fact mjadala huu unaweza usibadili chochote katika hiki kilichokwisha kutendeka na kuamuliwa na Rais Magufuli hata kama tutajadili mpaka tuvue na nguo zetu...
Lakini all in all, hii haiwazuii watu kujadiliana na kuhoji...