Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa wabunge walio mawaziri ikoje?Hoja iwe ni je kwenye payrol ataingia kama balozi au katibu mkuu kiongozi?
Uteuzi wa Kitila haukuwa na tatizo kwa sababu alimtoa ofisi moja ya utumishi ambayo ni (Lecturer kwenye chuo cha umma) na kumpeleka kwenye ofisi nyingine ya umma(ukatibu mkuu).
Watumishi wa umma kuhamishwa ofisi ni jambo la kawaida.
Utumishi wa Umma haupo kwa watu wasio na vyama peke yao, bali ni haki ya kila mtanzania mwenye vigezo bila kujali mrengo wake wa kisiasa
Lakini unasahau kwamba rais ni taasisi.Ndugu yangu, huyu ndugu hana lolote anachojua...
Yeye yuko hapa kutetea chochote anachofanya Mr. President. Ni marufuku kuhoji. Why?
Ni kwa sababu wao wanaamini kuwa, mtu mwenye cheo cha Urais ni kila kitu kwa lolote analoamua, kufikiri na kutenda ñi sahihi...
Wanashindwa kabisa kuelewa kuwa, Rais amepewa mamlaka hayo ya "Urais" wa nchi hii na sisi wananchi wa Tanzania na tukampa/mwekea mwongozo wenye limits ndani ya katiba ili ku - execute madaraka na mamlaka yake moja baada nyingine kwa amani na furaha...
Sisi siyo shamba la wanyama (Animal Farm). Sisi ni nchi. Sisi ni watu..
Kwani alianza kufanya kiapo kipi?Kwa wabunge walio mawaziri ikoje?
Kamwulize yeye...Kwani alianza kufanya kiapo kipi?
Sheria inayounda Ofisi ya katibu mkuu Kiongozi ni The Public Service Act na uteuzi wake hufanyika kwa mujibu wa kifungu cha nne cha sheria hiyo...kwenye taarifa ya Ikulu inaonyesha alimteua kuwa katibu mkuu, halafu akamteua kuwa balozi.
Ubunge na uwaziri siyo utumishi wa umma, ni political postsKwa wabunge walio mawaziri ikoje?
Unaweza kuweka kifungu cha sheria kuthibitisha makosa kama unadhani alikosea?..kwa hiyo kumtoa mtu ofisi ya chama na kumpeleka ofisi ya umma hamna makosa?
Sheria inayounda Ofisi ya katibu mkuu Kiongozi ni The Public Service Act na uteuzi wake hufanyika kwa mujibu wa kifungu cha nne cha sheria hiyo.
Sheria husika haijaweka sifa za mtu anayetakiwa kuteuliwa katika nafasi ya Katibu Mkuu.
Sheria ya mwaka 2002 iliainisha sifa za mtu kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu kiongozi lakini 2018 na 2019 yalifanyika mabadiliko yaliyoondoa kipengele kinachotaja sifa za mtu kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi.
Nafasi za kisiasa siyo za kuutumikia umma? Wtf!!!!Ubunge na uwaziri siyo utumishi wa umma, ni political posts
Unaweza kuweka kifungu cha sheria kuthibitisha makosa kama unadhani alikosea?
Unakumbuka kipindi cha uhakiki wa vyeti?Nafasi za kisiasa siyo za kuutumikia umma? Wtf!!!!
University of Dar es Salaam ni Chartered entityBashiru alikuwa mtumishi wa umma alikuwa mwalimu UDSM
..kwanini hunionyeshi kifungu ambacho kinaonyesha kuwa yuko sahihi?
..hii ni mara ya kwanza ktk historia ya Tanzania kuteuliwa Katibu Mkuu Kiongozi kama alivyoteuliwa Dr.Bashiru.
..yaani hata wakati wa chama kimoja, na chama kushika hatamu, Katibu Mkuu Kiongozi hakuwahi kuteuliwa kwa mtindo huu.
Nani amekudanganya karudie kufanya researchUniversity of Dar es Salaam ni Chartered entity
Kwahiyo watumishi wa UDSM wako nje ya sheria ya utumishi wa umma na hata ukiangalia definition of a public service utapata jibu sahihi
Man, the budden of proof lies squarely on the accuser.
Sisi tunasema yuko sahihi, ni jukumu la wewe unayemuaccuse kuwa kakosea ulete kifungu kuwa kakosea!
😁😁
Universities are chartered entities kama UDSM ilivyo hivyo watumishi wake wako excluded kwenye public service by virtue of the Public Service Act..huko alishatoka.
..aliingia kwenye SIASA.
..watumishi wa umma hawaruhusiwi kujihusisha na siasa.
Kwani kama hujui kitu lazima uchangie mada, ambazo zinahutaji ufahamu mzuri wa jambo husika?!!kimya kinaficha mengi, sana!!hadi hapo umeshajionyesha ni mtu wa namna gani kwenye mambo ya sheria!!hapa sio kule simba kwa sasa hata bayern munich hatoki, !!Sijui unataka kujua nini. Kikatiba raisi anayo haki ya kumteua Katibu kiongozi. Kama matakwa ya kikatiba yamekidhi huenda ya kisheria yamekidhi pia. Anayaeteuliwa anatakiwa awe mwananchi. Aliyeteuliwa ni Nshomile Mtanzania halisi wala si Mganda Kyaka. Hii ina maana naye amekidhi matakwa ya kikatiba na kwa hiyo ya kisheria. Una swali lingine?