Katiba mbovu, sheria mbovu, mikataba mibovu. Leo tumetozwa zaidi ya Tsh. Bilioni 260. Kufanywa kichwa cha Mwendawazimu hadi lini?

Asante kwa kuja!
Ungekuwa hivi siku zote ungekuwa mbali sana zaidi ya hapo ulipo.kwa sasa naona una udhubutu sasa hongera
 
Madini siku zote yalikuwepo na mali ya Tanzania.

Mkataba wake yeye mwekezaji ni kufanya exploration, kuyatoa, kugawana mapato na serikali mpaka hela yake irudi, kulipa kodi ya faida, PAYE na kadhalika.

So performance wise had the contract been executed serikali ingepata mapato yote hayo. Mwekezaji ajafanya chochote mpaka muda wa expropriation, na muda wake wa awali uli expire 2015 akaongezewa haraka haraka. I don’t know how they manage to loose these cases.

Anyway wenyewe kwa wenyewe washaanza kugeukana kuna nyingine ya mgogoro baina ya wabia nani anamiliki nini; baada ya kuona kuna mgao Ntaka Limited wamefungua kesi kudai share zaidi. So hata hao wazawa waliosuka huo mpango washapigwa na wazungu.
 
Wangempa nafasi ya kufanya alichotaka wote wangefaidika By the way UK Tanzania BIT haijaexpire soma vizuri uelewe 1996 plus 30yrs and if you don’t the treaty it’s automatically going on
 
Mtu makini ni Magufuli?? Mbona yeye ndio aliesababisha matatizo yote haya. Kesi ziko nyingi na zinakuja kwa hiyo umdhaniae ndie sio matatizo haya ni ya Magufuli tuwe wakweli
 
Nitakiachia niliyoachiwa na waliopita hasa baada ya kuelewa kuwa Tanzania life is about connection.
Kama huna koneksheni usithubutu kuwekeza Tanzania na kama ni foreigners wataishia arbitration ambazo ziko nyingi mno kuhusu Tanzania nina wasiwasi Tanzania inawezekana kuwa ni nchi ya kwanza kuwa na migogoro mingi sana katika mahakama za kimataifa
 
Wangempa nafasi ya kufanya alichotaka wote wangefaidika By the way UK Tanzania BIT haijaexpire soma vizuri uelewe 1996 plus 30yrs and if you don’t the treaty it’s automatically going on
Upewi nafasi forever kuna terms za uwekezaji ukishindwa unanyan’ganywa. ‘Performance’ ni sehemu kubwa ya mkataba ukishindwa kuna madhara.

Wote hao waliopo mahakamani didn’t meet their part of the performance obligations, kuendelea na hiyo mikataba serikali ilitakiwa iwatoze loss of income au yenyewe ndio iwafungulie case za conditional (material) breach kudai fidia na kuvunja mkataba juu.

BIT ya Tanzania na U.K. ilisainiwa 1994 with 10 years duration kwa hivyo ili expire 2004. Hiyo miaka 20 ya sunset clause inalinda investment zilizofanyika ndani ya 10 years ambazo bado zinaendelea after 2004. Not anything entered after 2004 those are not covered.

Kulipa hizo hela either kuna incompetence serikalini au ni deal za watu; I pick the latter.
 
Mtu makini ni Magufuli?? Mbona yeye ndio aliesababisha matatizo yote haya. Kesi ziko nyingi na zinakuja kwa hiyo umdhaniae ndie sio matatizo haya ni ya Magufuli tuwe wakweli
Mbona awakuzifungia hizo kesi wakati uhai wake.

Yeye alikuwa ana malizana tu na hiyo michezo; watanzania tulimpenda ila mungu akampenda zaidi kabla kazi yake aijaisha. Team yake yote wameitoa kwenye civil services kwa asilimia kubwa wamerudisha majizi na mambo ya hovyo yamerudi upya.
 
Kwa ufupi ccm haina tatizo, ccm ni Chama changu tena kizuri sana. Ukiachilia mbali Katiba ya Chama, kama chama kikitumia tu zile Ahadi za Mwanachama peke yake kwa uaminifu kabisa! Hii nchi tungeshafika kwenye hatua ya Maziwa na Asali. Shida ni THINK TANK ya Chama, zile top zile ndo pana Shida pale. CCM iko vizuri sana! Ila shida wanaosemaga ccm ina wenyewe na wenyewe ndo sisi hao ndo wamejificha kwenye Chama, wakajivisha vazi la Uzalendo, Ukongwe na Uasisi kumbe ni Mashetani matupu.
 
Jifunze jinsi kesi za kimataifa BIT zinavyofunguluwa kwanza unafanya diplomatic ubalozi wa mfungua kesi unaijulisha Tanzania kwamba tuna tatizo mwananchi wetu anadhulumiwa kwa hiyo rekebisha miezi 6 Tanzania wasipojibu wanaandaa mchakato wa kesi na unweza chukua mwaka mzima kama Tanzania hawatoi ushirikiano kesi kama hizo ni miaka 2 au 4 mpaka ziishe
 
It’s still in force haijakuwa terminated!!
 
It’s still in force haijakuwa terminated!! 1994 but in force 1996 started 10ths 2006 plus 20 Yrs is 2026 please 🙏🏿 get your arithmetic code right
 
It’s still in force haijakuwa terminated!! 1994 but in force 1996 started 10ths 2006 plus 20 Yrs is 2026 please 🙏🏿 get your arithmetic code right


Hakuna mahala nimesema treaty imeisha 1994 nilichosema umeanza mwaka huo; admittedly nime changanya mwaka ni 1996. But then ni mkataba wa miaka 10.



Umeelezwa hapo mkataba baada ya miaka 10 (2006) usipokuwa renewed in 12 month baada ya hapo unakufa.

Hiyo miaka 20 ya ‘sunset clause’ ni kwa ajili ya uwekezaji ambao umefanyika katika kipindi cha 1996 na 2006 ndio italindwa na hiyo BIT mpaka 2026.

Mkataba wowote ambao umeingiwa after September 2006 ailindwi may hiyo BIT.

Sasa kama hiyo project ya Ntaka ilianza after September 2026 is not covered.
 
Huo sio utaratibu wa kimataifa ni recommended dispute resolution process kuanza diplomatically before escalating to tribunals.

Ata mgogoro kazini watu wa kwanza ni HR au workers representative (ideally na ndio ilivyo kwingine duniani) hizo ni njia za diplomacy pia kwanza. Ikishindikana ndio wanaenda kwenye employment tribunal.
 
Tatizo ni mianasheria yetu mimbumbumbu mila rushwa haina uzalendo, hiko localised haina International exposure! Hiyo kesi naifahamu vizuri Tanzania hatupaswi kulipa hata senti tano. Hizi kesi zinaendeshwa na madalali ya kimataifa baada ya kugundua kwasasa tuna rais mbumbumbu asiyejua kitu kutokana na kusaini mkataba wa DP WORLD! Kwahiyo hao madalali wananunua kesi za kimataifa na kutumia loopholes za udhaifu wa Tanzania kutupiga! Ndugu watanzania, maisha magumu tuliyonaya yanasababishwa na seriakali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…