Katiba Mpya impe Nguvu Rais, aendelee Mpaka aseme "BASI" mwenyewe

No reform, No election
 
Watanzania wana kiu kubwa sana ya kushiriki uchaguzi na kumchagua RAIS Samia. Halafu hivi unafahamu kitu kinaitwa BBT?

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣.

Mwakani hakuna cha maridhiano baada ya uchaguzi wa kihuni . Maridhiano ni sasa .

Mwakani ni ubaya ubwela .
Kuna maeneo CCM hata makanisani watasomewa na kukimbiwa kwenye viti maana itakua sawa na kukaa na gaidi au jambazi au shetani kwenye ibada . 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Waliopo madarakani hawana raha hata kidogo hata ushindi wao hawaufurahii . Yaani kama sio kualika wanamziki wengi mashoga na baadhi ya wasanii wachache sana kwenye mikutano yenu kuja kukata viuno mbele ya wanaume na wanawake mikutano yenu ingekuwa kama misiba. 😭😭😭😭😭😭
 
Acheni kujitekenya na kujichekesha. Hata Lissu alikuwa anaropoka ropoka Hovyo na kujiona hagusiki. Lakini leo yupo ndani Amesahaulika kabisa na hakumbukwi na yeyote yule
Wewe Lucas inaonekana uwezo wako wa kuchanganua mambo ni mdogo. Kuna mahali popote nimemwongelea Lisu kwenye maandiko yangu? Rudia kusoma tena. Sina mchangamano wowote na Lisu wala Chadema.
 
Endeleani na ujinga wenu. Uchaguzi utafanyika na watanzania watashiriki kikamilifu kabisa na Nchi itaendelea kusonga mbele kwa kishindo.
 
Kwa aliyoyafanya ni nguma akitoka madarakani akabaki salama pona yake ni kubadili Katiba afie Madarakani maana akiachia tu ICC hii hapa maana Kila kitu na ushahidi vishakamilika
 
Unauhakika kuwa mwaka huu ataendelea kuwepo duniani? Maana Kuna shekh aliota kuwa kunauwezekano huu mwaka usishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…