Katiba mpya italetwa na CCM siyo Chadema

Katiba mpya italetwa na CCM siyo Chadema

Ccm itawajibika kushiriki kwenye katiba mpya bila kupenda, hivyo cdm wakikaa kimya katiba mpya haitakaa ipatikane. Hadi sasa ujumbe wa katiba mpya unawafikia vizuri sana wananchi. Na ccm wako kwenye wakati mgumu maana hili ni dai halali.
Elimu inatoka vizuri sn
 
Kwahiyo Chadema ni sawa na Tanu?!
Chadema inaelekeana na TANU kwa misingi yake ya kujali utu na thamani ya Mtanzania,vile vile kujali maslahi mapana ya jamii na si viongozi pekee ili kuendeleza kupiga kwa kisingizio cha uzalendo.
 
Hiyo ni kweli kabisa lakini wawaache vyama,taasisi,mshirika na wadau wengine watoe elimu kwa uhuru ili siku watakapo amua kuileta iyo katiba watu wawe na uelewa mpana maana wasije kuleta mbuzi kwenye gunia yaani badala ya katiba ya wananchi yenye kulinda maslahi,wajibu,haki,nguvu na mamlaka ya wananchi wakalete katiba ya CCM rejea katiba pendekezwa
 
Eid El Adha!

Niwakumbushe ndugu zangu watanzania bara na visiwani kwamba Chadema au chama chochote cha upinzani hakiwezi kuleta katiba mpya.

Katiba mpya italetwa na CCM katika muda muafaka.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Kula kulala kwa shemeji yako utapataje akili ya kuyajadili mambo yanayohitaji kutumia 75% ya akili?
 
Wakifika geti lakijani hili ndio jambo la kwanza. Na wanageuka mufilisi kabisa.
 
Back
Top Bottom