Wewe na wenye akili kama zako wote ni mapumbavu. Kama hujui maana ya katiba ya nchi, nyamaza ufiche uendawazimu wako. Ccm si wenye nchi. Nchi ni ya Watanzania wote zaidi ya ccm na chadema. Ccm wana katiba yao na hawana ubavu wa kutengeneza katiba ya taifa. Chadema wana katiaba yao, na hawana uabavu wa kutengeneza katiba ya nchi.
Katiba ya nchi inaandikwa na wananchi wenyewe bila kujali itikadi za kisiasa, sekta wala kituchochote.
Kumilikisha ccm mchakato wa katiba ndiyo sababu ya failure za usanii wa awamu ya nne kwenye hii agenda. Wala hatuhitaji bunge na JMT kujibadilisha rangi na kujifanya bunge la katiba kwa sababu siyo kazi yake. Hata kwenye TOR zao hakuna hicho kitu. Bunge hilo kama lipo ni sehemu moja ndogo ya components za bunge la katiba. Ccm kama wapo ni sehemu ndogo ya components za bunge la katiba kama ilivyo chama chochote kingine cha siasa.
Katiba ya nchi ni ya taifa na si ya hayo mengenge yenu nayayonuka damu za Watanzania.