Katiba mpya italetwa na CCM siyo Chadema

Katiba mpya italetwa na CCM siyo Chadema

Eid El Adha!

Niwakumbushe ndugu zangu watanzania bara na visiwani kwamba Chadema au chama chochote cha upinzani hakiwezi kuleta katiba mpya.

Katiba mpya italetwa na CCM katika muda muafaka.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Katiba inayoletwa na vyama vya siasa haiwezi kuwa katiba mpya, labda ya zamani. Katiba mpya ni ile inayoletwa na wananchi (yenye maoni na matarajio ya wananchi) na hii siyo nyingine ni ile ya Tume ya Warioba ambayo tayari ipo (siyo ile nyingine iliyochakachuliwa).
 
Hiyo ni kweli kabisa lakini wawaache vyama,taasisi,mshirika na wadau wengine watoe elimu kwa uhuru ili siku watakapo amua kuileta iyo katiba watu wawe na uelewa mpana maana wasije kuleta mbuzi kwenye gunia yaani badala ya katiba ya wananchi yenye kulinda maslahi,wajibu,haki,nguvu na mamlaka ya wananchi wakalete katiba ya CCM rejea katiba pendekezwa
Siku yao yaja.Wataachia madaraka hata kwa kunyukwa viboko.
 
Eid El Adha!

Niwakumbushe ndugu zangu watanzania bara na visiwani kwamba Chadema au chama chochote cha upinzani hakiwezi kuleta katiba mpya.

Katiba mpya italetwa na CCM katika muda muafaka.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
CCM ipi mkuu maana imeshindwa kwenye kila kitu. Suala la miamala simu tu mmeshindwa, siasa ya ushindani mmeshindwa, mmebakia kubambikiza kesi na kutumia jeshi badala ya hoja za ushindanishi.

Endeleeni kuamini hivyo siku wananchi wakiingia njiani kuidai utakua ngumu Sana. Watch what is happening in South Africa
 
Eid El Adha!

Niwakumbushe ndugu zangu watanzania bara na visiwani kwamba Chadema au chama chochote cha upinzani hakiwezi kuleta katiba mpya.

Katiba mpya italetwa na CCM katika muda muafaka.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Umejichanganya. Hicho kitakacholetwa na CCM sio Katiba mpya. Ni katiba viraka maana hao hawawezi kuleta katiba mpya itakayowanyoa wenyewe. Rejea mchakato wa katiba ya Warioba ulivyochakachuliwa mpaka kuleta Katiba pendekezwa-kichekesho!!!!
 
Wananchi kwa asilimia zaidi ya 90 waliipa CCM ushindi wa kishindo ili itekeleze ilani iliyonadiwa.
CCM haikuahidi katiba mpya CCM haiwajibiki kuleta katiba mpya.

Hakuna mwananchi mnyonge anayehitaji the so called katiba mpya(mabadiliko ya maandishi)

People need dough in their pockets not constituional booklets!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Back
Top Bottom