Upuuzi. Uchafuzi mkuu ndiyo ridhaa?Wananchi kwa asilimia zaidi ya 90 waliipa CCM ushindi wa kishindo ili itekeleze ilani iliyonadiwa.
CCM haikuahidi katiba mpya CCM haiwajibiki kuleta katiba mpya.
Hakuna mwananchi mnyonge anayehitaji the so called katiba mpya(mabadiliko ya maandishi)
People need dough in their pockets not constituional booklets!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Wambie walipe kodi hatutaki unyonyaji.Wananchi kwa asilimia zaidi ya 90 waliipa CCM ushindi wa kishindo ili itekeleze ilani iliyonadiwa.
CCM haikuahidi katiba mpya CCM haiwajibiki kuleta katiba mpya.
Hakuna mwananchi mnyonge anayehitaji the so called katiba mpya(mabadiliko ya maandishi)
People need dough in their pockets not constituional booklets!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Eid El Adha!
Niwakumbushe ndugu zangu watanzania bara na visiwani kwamba Chadema au chama chochote cha upinzani hakiwezi kuleta katiba mpya.
Katiba mpya italetwa na CCM katika muda muafaka.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Kila mwaka mnaibiwa ninyi tu?Upuuzi. Uchafuzi mkuu ndiyo ridhaa?
Chadema wanawarubuni wananchi wasiojielewa. Siku hizi wakikutana kule space na wakina Kigogo wanajazana ujinga, baada ya hapo wanajiona wameshapata Katiba mpyaEid El Adha!
Niwakumbushe ndugu zangu watanzania bara na visiwani kwamba Chadema au chama chochote cha upinzani hakiwezi kuleta katiba mpya.
Katiba mpya italetwa na CCM katika muda muafaka.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Polisi na Usalama wa Taifa nao ni wananchi wa Tanzania, ukiona wanawapinga Chadema ujue wamEona Chadema inafanya harakati za kipumbavuHiki kikundi cha Wahuni huko bungeni au kingine?? Hawa wanaotumia Polisi na Usalama wa Taifa kufanya uharamia kwenye uchaguzi? Hawana hio moral authority
Chadema haina uwezo huoNa chadema imeshasema haikubali wabunge wa ccm wailete
Mama Samia sio diktetaLazima tuidai, huyu dikteta wa kike ni hatari kuliko shetani
Ccm nchi hii wapo strategic kupita vyama vyote vya siasa nchiniCCM ipo hoi
Katiba itapatikana pale wananchi watakapotakaCcm itawajibika kushiriki kwenye katiba mpya bila kupenda, hivyo cdm wakikaa kimya katiba mpya haitakaa ipatikane. Hadi sasa ujumbe wa katiba mpya unawafikia vizuri sana wananchi. Na ccm wako kwenye wakati mgumu maana hili ni dai halali.
Unaikosea heshima TANU , Tanu haikujaa viongozi wanaotokea zone moja kama ilivyo Chadema.Chadema inaelekeana na TANU kwa misingi yake ya kujali utu na thamani ya Mtanzania,vile vile kujali maslahi mapana ya jamii na si viongozi pekee ili kuendeleza kupiga kwa kisingizio cha uzalendo.
Eid El Adha!
Niwakumbushe ndugu zangu watanzania bara na visiwani kwamba Chadema au chama chochote cha upinzani hakiwezi kuleta katiba mpya.
Katiba mpya italetwa na CCM katika muda muafaka.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
CCM ndio taifa lenyewe mbwiga wewe!Wewe na wenye akili kama zako wote ni mapumbavu. Kama hujui maana ya katiba ya nchi, nyamaza ufiche uendawazimu wako. Ccm si wenye nchi. Nchi ni ya Watanzania wote zaidi ya ccm na chadema. Ccm wana katiba yao na hawana ubavu wa kutengeneza katiba ya taifa. Chadema wana katiaba yao, na hawana uabavu wa kutengeneza katiba ya nchi.
Katiba ya nchi inaandikwa na wananchi wenyewe bila kujali itikadi za kisiasa, sekta wala kituchochote.
Kumilikisha ccm mchakato wa katiba ndiyo sababu ya failure za usanii wa awamu ya nne kwenye hii agenda. Wala hatuhitaji bunge na JMT kujibadilisha rangi na kujifanya bunge la katiba kwa sababu siyo kazi yake. Hata kwenye TOR zao hakuna hicho kitu. Bunge hilo kama lipo ni sehemu moja ndogo ya components za bunge la katiba. Ccm kama wapo ni sehemu ndogo ya components za bunge la katiba kama ilivyo chama chochote kingine cha siasa.
Katiba ya nchi ni ya taifa na si ya hayo mengenge yenu nayayonuka damu za Watanzania.
Juzi hapa mama Samia aliulizwa swali la katiba mpya, wale walikua wanasiasa?Kelele za Katiba mpya kufanywa na wanasiasa bila kuwa na backup ya wananchi ni kupoteza muda tu.
Wangekuwa na watu basi hiyo jana tungewaona mitaani hata Kwa Mwanza pekee.
Wananchi wapi, wengi wa wananchi wa nchi ni wa kuburuzwa tu na fuata upepo. Habari ndio hiyo boss.Katiba itapatikana pale wananchi watakapotaka
Kuna mdau alisema sehemu kwamba wananchi wengi wa nchi hii bado wanajielewa. Na wanatambua umuhimu wa kubadilisha katiba.Wananchi wapi, wengi wa wananchi wa nchi ni wa kuburuzwa tu na fuata upepo. Habari ndio hiyo boss.
Italetwa na Vita ya msituniEid El Adha!
Niwakumbushe ndugu zangu watanzania bara na visiwani kwamba Chadema au chama chochote cha upinzani hakiwezi kuleta katiba mpya.
Katiba mpya italetwa na CCM katika muda muafaka.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
CHADEMA ina viongozi hawa mwenyekiti Freeman Mbowe kutoka Kilimanjaro,Makamu mwenyekiti Tundu Lisu kutoka Singida,Katibu John Mnyika,wajumbe John Heche kutoka Mara,Peter Msigwa kutoka Iringa,Mbilinyi(Sugu) kutoka Mbeya, Mwalimu kutoka Zanzibar,hao ni wachache tu je wote wanatoka kanda moja kama unavyoaminisha jamii?Unaikosea heshima TANU , Tanu haikujaa viongozi wanaotokea zone moja kama ilivyo Chadema.