Katika hali isiyotarajiwa, askofu Kakobe ametia timu kwenye mkutano wa wapinzani juu ya katiba mpya. Akiwa anaingia ilibidi Lipumba asitishe hotuba ghafla akisubiri raia wamalize kushangilia. CCM kwisha
[FONT=century
gothic]Wao wana majangili, mafisadi, wauza unga, magaidi na sisi tuna
Mungu.[/FONT]
Wakuu nilimuona kakobe kapewa nafasi ya kutoa hotuba kwenye mkutano wa vyama vya siasa vya cuf,chadema na nccr mageuzi.
Swali la kujiuliza hapa kama mkutano ulikuwa wa vyama vya siasa kakobe yeye ni mwanachama wa chama gani kati ya vyama vilivyokuwepo kwenye mkutano.
Au ameshaacha dini na kuanza siasa,ni vizuri aweke wazi ili watu wamjue ni kipi hasa cha kwake kati ya siasa na dini.
Mböna hutamsema sheikh mkuu wa shura ya maimamu?
Mbulula wewe huo mkutano ulikuwa sio wa wanasiasa peke yao ni pamoja na asasi zote za kiraia
Ubongo wako ni kama wa kunguni!
Mbona hakuna kiongozi wa Kiislamu aliyepewa nafasi ya kuongea pale? au Leo ilikuwa siku ya wanasiasa wanaojifikcha kwenye kivuli cha uchungaji kujiweka wazi?
Wakuu nilimuona kakobe kapewa nafasi ya kutoa hotuba kwenye mkutano wa vyama vya siasa vya cuf,chadema na nccr mageuzi.
Swali la kujiuliza hapa kama mkutano ulikuwa wa vyama vya siasa kakobe yeye ni mwanachama wa chama gani kati ya vyama vilivyokuwepo kwenye mkutano.
Au ameshaacha dini na kuanza siasa,ni vizuri aweke wazi ili watu wamjue ni kipi hasa cha kwake kati ya siasa na dini.
Mbona hakuna kiongozi wa Kiislamu aliyepewa nafasi ya kuongea pale? au Leo ilikuwa siku ya wanasiasa wanaojifikcha kwenye kivuli cha uchungaji kujiweka wazi?
Mbona hakuna kiongozi wa Kiislamu aliyepewa nafasi ya kuongea pale? au Leo ilikuwa siku ya wanasiasa wanaojifikcha kwenye kivuli cha uchungaji kujiweka wazi?
Mambo huyaelewi unaongea ya nini? Jifunze kuongea vitu unavyovijua kwa ufasaha
Akili ndogo sana ww. Askofu Kakobe kama ungemsikiliza hata yy alipohutubia pale alisema wazi kuwa mwanzo alifikili ni mkutano wa wapinzani. Alipojiridhisha kuwa sio wa wapinzani bali ajenda ni mchakato wa katiba ndipo alipoamua kufika. Nae akato angalizo kuwa vyama visibebe hilo kichama au kisiasa. Bali iwe ni utanzania. Ndipo alipo toa kauli mbiu ya Katiba .... Unaitikia kwa watanzania wote. Sasa acha ujinga wa kujua vitu nusu nusu.
Anamshawishi rais afute ccm au aondoe mapenzi kwenye chama chake? ni kichekesho ujue.