Chikaka Sumuni
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 1,337
- 773
Hivi kwa akili ya kawaida tu,mtu anayetoa tangazo la kuvunja amani anafaa kuwa Rais wa Tanzania kweli?
Zito Vipi hajatajwa Leo Wala sijamuona nilikuwa na hamu ya kumuona imekuaje
Hivi kwa akili ya kawaida tu,mtu anayetoa tangazo la kuvunja amani anafaa kuwa Rais wa Tanzania kweli?
[FONT=century
gothic]Wao wana majangili, mafisadi, wauza unga, magaidi na sisi tuna
Mungu.[/FONT]
Wakuu nilimuona kakobe kapewa nafasi ya kutoa hotuba kwenye mkutano wa vyama vya siasa vya cuf,chadema na nccr mageuzi.
Swali la kujiuliza hapa kama mkutano ulikuwa wa vyama vya siasa kakobe yeye ni mwanachama wa chama gani kati ya vyama vilivyokuwepo kwenye mkutano.
Au ameshaacha dini na kuanza siasa,ni vizuri aweke wazi ili watu wamjue ni kipi hasa cha kwake kati ya siasa na dini.
Hivi kwa akili ya kawaida tu,mtu anayetoa tangazo la kuvunja amani anafaa kuwa Rais wa Tanzania kweli?
Hivi kwa akili ya kawaida tu,mtu anayetoa tangazo la kuvunja amani anafaa kuwa Rais wa Tanzania kweli?
rais wa waleviWakuu nilimuona kakobe kapewa nafasi ya kutoa hotuba kwenye mkutano wa vyama vya siasa vya cuf,chadema na nccr mageuzi.
Swali la kujiuliza hapa kama mkutano ulikuwa wa vyama vya siasa kakobe yeye ni mwanachama wa chama gani kati ya vyama vilivyokuwepo kwenye mkutano.
Au ameshaacha dini na kuanza siasa,ni vizuri aweke wazi ili watu wamjue ni kipi hasa cha kwake kati ya siasa na dini.
wao wana majangili, mafisadi, wauza unga, magaidi na sisi tuna mungu.
Suala la Katiba ni la Asasi zote wakiwemo viongozi wa dini ;Wakuu nilimuona kakobe kapewa nafasi ya kutoa hotuba kwenye mkutano wa vyama vya siasa vya cuf,chadema na nccr mageuzi.
Swali la kujiuliza hapa kama mkutano ulikuwa wa vyama vya siasa kakobe yeye ni mwanachama wa chama gani kati ya vyama vilivyokuwepo kwenye mkutano.
Au ameshaacha dini na kuanza siasa,ni vizuri aweke wazi ili watu wamjue ni kipi hasa cha kwake kati ya siasa na dini.
Wewe si ulikuwa unawadanganya watu kuwa Kakobe ametoroka ??? Gazeti la Mwananchi na citzen mpo?????Wakuu nilimuona kakobe kapewa nafasi ya kutoa hotuba kwenye mkutano wa vyama vya siasa vya cuf,chadema na nccr mageuzi.
Swali la kujiuliza hapa kama mkutano ulikuwa wa vyama vya siasa kakobe yeye ni mwanachama wa chama gani kati ya vyama vilivyokuwepo kwenye mkutano.
Au ameshaacha dini na kuanza siasa,ni vizuri aweke wazi ili watu wamjue ni kipi hasa cha kwake kati ya siasa na dini.
kumbe Maalimu Seif (makamu wa pili rais Zanzibar) ni mwanachama wa CCM.
Nanukuu maneno ya Lipumba:"ccm wamemsaliti ccm mwenzao,Maalim Seif"
kayasema hayo leo Jangwani
Sina wasiwasi na Mbowe mwenye ugomvi na Dk. Slaa anayetumia mkono wa chuma kujiimarisha ndani ya CHADEMA. Sina hofu na Mbatia a.k.a "Kura za Maruhani," na Lipumba a.k.a "Msinipigie kura ya ndiyo, zangu mpeni Kikwete" (2010). CHADEMA INASAMBARATISHWA KISAYANSI.
Huwezi kunielewa iwapo upeo wako ni kiwango cha ushabiki na matumaini hewa.
Mungu yupi? Kakobe mwizi huyo,waumini wake wana kesi naye mahakamani
Mkutano ulikuwa umeandaliwa na wanasiasa walioshiriki ni wanachama yeye kakobe ni mwanachama wa chama gani?mbona una kichwa kigumu? hule ulikuwa ni mkutano kuhusu katiba na katiba ni ya wananchi wote si ya chama fulani na haina dini ,kwa hiyo wasio kuwepo wameamua kutokuwepo.