Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jk anaiua ccm kwa kuwafharau wanachi ndo maana walingangania hili bunge ligeuke bunge la katiba watumie wingi wao ila wakumbuke malipo ni hapa hapa mi nawalaani wao na vizazi vyao
naona dalili za kupata katiba mpya sasa zimeeanza kuonekana mapema serikali mbili ndiyo mpango mzima ndiyo zimetufikisha hapa tulipo.
Msimamo wa ccm ndio msimamo wa wananchi wote wa tanzania wapenda amani na maendeleo,anayepinga serikali MBILI huyo anataka kutubagua watanzania na kuleta chokochoko zisijo na tija!! Kidumu chama cha mapinduzi
Kikao cha siku 2 cha NEC ya Chama cha Mapinduzi(CCM) kimemalizika na kutoa taarifa kupitia katibu wa Itikadi na uenezi wa chama hicho,bwana Nape Nnauye kuwa wamekubaliana kuendelea na msimamo wa kuunga mkono serikali 2.
Pia,bwana Nape ameongeza kuwa watafanyia kazi changamoto za muungano zinazolalamikiwa ambapo wameendaa hoja za kuziwasilisha katika bunge la katiba.Hoja hizo ambaza amekataa kuzitaja ndio zitakuwa na maelezo ya namna ya kutatua kero za muungano
Katika hatua nyingine,Nape amesema hawatishiwa na hatua ya vyama vingine kwenda kwa wananchi kwani hata wao(CCM) wanaweza kwenda kwa wananchi na kuwaeleza jambo hilo.
CHANZO:ITV
MY TAKE:
Hatua hii ni sawa na kutangaza mgogoro mapema!
Msimamamo wa CCM ndio msimamamo wa wanyonge na wazalendo!
wajumbe wa NEC kutoka zanzibar ni wajanja na makini maana wanahakikisha utaifa wao uko palepale,wana Rais wao,Serikali yao,katiba yao na mawaziri wao,mazezeta ni kina Nape kutoka Tanganyika hawana chochote,Wanzanzibar ukiwakatalia hivyo wanavyotaka wako tayari muungano ufeTamko hili la CCM-NEC linamuweka Rais J.K katika hali yenye kutoeleweka mbele ya jamii. Wiki iliyopita alifungua mkutano wa Tanzania Center for Democracy na kuwambia wahumbe kwamba wajumbe wanaoenda Dodoma kwenye Bunge la katiba wasiende na misimamo ya taasisi zao bali waende kwa maslahi ya Taifa. Jana kapiga U-turn na sasa CCM wanakwenda na Serikali mbili! Lakini kuna jingine pia. Kikwete alisema anataka katiba itakayodumu miaka 50 ijayo. Kwa kugangania serikali mbili katiba hii sidhani kama itadumu hata miaka 10 ijayo. Waingereza wanasema; It is dead on arrival. What a waste of money?
Mbona kila siku tupo barabarani wewe unataka barabara ipi au kwa mtei zipo zingine unamaanisha.
That guy is hypocrite!Tamko hili la CCM-NEC linamuweka Rais J.K katika hali yenye kutoeleweka mbele ya jamii. Wiki iliyopita alifungua mkutano wa Tanzania Center for Democracy na kuwambia wahumbe kwamba wajumbe wanaoenda Dodoma kwenye Bunge la katiba wasiende na misimamo ya taasisi zao bali waende kwa maslahi ya Taifa. Jana kapiga U-turn na sasa CCM wanakwenda na Serikali mbili! Lakini kuna jingine pia. Kikwete alisema anataka katiba itakayodumu miaka 50 ijayo. Kwa kugangania serikali mbili katiba hii sidhani kama itadumu hata miaka 10 ijayo. Waingereza wanasema; It is dead on arrival. What a waste of money?
Ndiyo mnavyo danganyana mkiwa peke yenu.Mbona mi ni mtanzania na siwa ungi mkono.Research gani potofu mliofanya kujua hiloHakika mkuu. Ccm ndo mlezi halali wa watanzania
Warioba aliisaliti CCM. Alipewa nafasi hiyo ya M'kiti wa Tume ya Katiba akiunganishwa na Salim na Butiku ambao wote walikuwa wapendwa wa Mwalimu na siasa zake, pakiwa na uhakika kuwa hatathubutu kumsaliti Mwalim au CCM. Kikwete hakuamini kuwa kumbe binadamu aweza kuwa NYOKA. Laiti Mwalimu angekuwa hai katu Warioba asingekubali asingetoka na ajenda ya serikali tatu. Salim huyo ndo angeruka kimanga. Naamini CCM ilibakia mdomo wazi baada ya kuona na kusikia usaliti wa Warioba na wenzake. Mzee Mkapa alimuelewa vzri Warioba, ndo maana hakumpa madaraka ktk kipindi chake chote cha urais zaidi ya kumpa kuongoza ile Tume iliomjeruhi Nalaila Kiula. Hakumtaka kabisa. Ona sasa ameweka CCM ktk mtihani mkubwa wa kugeuza suala la serikali 3. Msiomfahamu Warioba ndo zake. Haaminiki kabsaaa. Ana uchu wa madaraka kweli kweli baada ya Mzee Ruksa kumuonjesha u W/Mkuu ambao nao ulimshinda. Anadhani ktk mfumo wa serikali 3 anaweza kupata mojawapo ya nafasi 3 za urais. Mh, nani akupe!!! Ng'o sahau kabisa. CCM sasa wamekufahamu vizuri rangi zako zote. Mauimivu ulowapa hawatayasahau.