Katiba ya CCM haina suala la Ukomo wa muda wa uongozi.

Katiba ya CCM haina suala la Ukomo wa muda wa uongozi.

Mkuu Khakha, naomba unisamehe!, unajua humu jf sasa mashabiki wa Chadema wamejaa sana hadi kwen ye msafara wa mamba, huwezi jua kenge ni yupi!.
Pasco.
Mkuu usitokwe na povu,uongozi wa cdm unatafakari hoja zote na mtapata taarifa ya uchaguzi pindi maandalizi yatakapokamilika mwaka 2016.hakuna haja ya kulumbana
 
Katiba ya Chadema inasema
uchaguzi ni kila baada ya miaka 5!, miaka mitano inaisga 2014!, mamlala
ya extention mwisho ni mwaka 1!, hivyo ni 2015, baada ya 2015 bila
uchaguzi Chadema itakuwa ni illegal party!, piga ua galagaza uchaguzi ni
lazima 2014 not beyond, tena tutahakikisha tunashinikiza this time
mwenyekiti ni lazima awe Prof. Safari, Arfi or "the one and only best
you have!".

Huku sio kuingilia mambo ya ndani ya Chadema, bali kufanya maamuzi fedha
zetu zitumikaje?.

Pasco.

Lakin katiba hiyo hiyo ya Chadema haijawazuia viongozi waliotumikia kwa vipindi viwili kugombea tena katika nafasi nyingine.

Kwa maana nyingine Dr. Slaa anaweza akagombea nafasi nyingine ndani ya Chama (tuseme M/kiti) na kushinda (kama wanachadema wataona inafaa) bila kuvunja kipengele chochote cha katiba

Hivyo basi, hata kama kifungu hicho kinachoweka ukomo wa uongozi (kwenye nafasi moja) kikirudishwa kama wanachadema wengi wataona inafaa, bado CCM haitaweza kutumia upenyo huo to get rid of Dr. Slaa and the likes kwan Katiba hiyo hiyo inawaruhusu ku-trade places
 
Hoja ya Mwigamba ni katiba kuchakachuliwa kinyemela na wajanja kwa manufaa yao kutoka vipindi viwili vya uongozi ili pasiwe na ukomo.
 
Hoja ya Mwigamba ni katiba kuchakachuliwa kinyemela na
wajanja kwa manufaa yao kutoka vipindi viwili vya uongozi ili pasiwe na ukomo.

mwambie mwigamba awaachiw hao wajanja wachache lichama lao ya nini tabu
mie sioni ulazima wa kungangania vya watu atengeneze cha kwake tumfuate
 
Tatizo lako hufuatilii mijadala. ushahidi wote umeshaweka hapa JF na kujadiliwa kwa kirefu.

Hebu jaribu kuweka tena huo 'ushahidi' tuone kama 'ushahidi' wenyewe 'utakataa' kuwekwa maana 'ulishawekwa' hapa JF.
Kumbukeni wana CCM wote, njia ya mwongo ni fupi sana.
 
mwambie mwigamba awaachiw hao wajanja wachache lichama lao ya nini tabu
mie sioni ulazima wa kungangania vya watu atengeneze cha kwake tumfuate

Hatimaye na yeye Mwigamba tutamuona 'akipokelewa' kama 'wenzake' waleee...!!

8E9U8493.jpg
 
You are missing the point dude!

Tatizo sio kuwepo au kutokuwepo kwa kipengele.

Tatizo ni utaratibu unaotumika kuingiza na kutoa vipengele pamoja na kauli za UONGO zinazotolewa na viongozi waandamizi wa chama kulaghai watu juu ya utaratibu huo.

Kumbe ulaghai wa uchaguzi wa viongozi kwa CCM umeanzia chamani?
 
Mkuu unampa sifa isiyo yake,

Yeye kwafani yake ya kusomea ni mkunga, na aliajiriwa na wizara ya afya kufanya kazi katika zahamati ya Mvomero Morogoro,

Hivi sasa kaacha kazi hiyo na yupo jijini Dar akilala Tabata Mawenzi na kushinda vijiwe vya Lumumba Mnazimoja akijifanya ni mpigania ccm kwa ndoto za ipo siku atapa hata u DC tu,

Kwakifupi mimi hupenda kumuita NGARIBA

Kaaazi kweli-kweli...!!!
 
Hoja ya Mwigamba ni katiba kuchakachuliwa kinyemela na
wajanja kwa manufaa yao kuthoka vipindi viwili vya uongozi ili pasiwe na ukomo.

mwambie mwigamba awaachie hao wajanja wachache lichama lao ya nini tabu
mie sioni ulazima wa kungangania vya watu atengeneze cha kwake tumfuate
 
Katiba ya CCM haina kipengele chochote kinachoweka ukomo wa muda wa mtu kuwa katika uongozi.

Na katika sehemu inayotaja mwenyekiti wa taifa hakuna ukomo.

Kwa kuwa suala la kukosa ukomo katika uongozi katika katiba ya Chadema limeonekana kuwakera sana wapenzi wa CCM na mahasimu wa CHADEMA, kuliko wanachama wa CHADEMA wenyewe.

Je, agenda hiyo imeanzishwa kwa nia njema?

Mmewahi kuona hata siku moja Zemarcopolo, ritz, simiyu yetu, chris lukosi, faizafoxy, chabruma, wakionyesha nia njema yoyote kwa CHADEMA?

Tuchukulie kuwa wamefanya kwa nia nzuri, je kwa nini nia hio njema isiwatume kuhoji katiba ya chama chao wenyewe?

Wana Chadema mnaosoma thread hii, mjue CCM wanatumia kila mbinu kubomoa Chadema. Na inaonekana wanaona uongozi wa sasa wa chadema umekuwa kikwazo kwao kuona upinzani unazorota.

Walijaribu mbinu nyingi za propaganda: kaskazini, ukristu, ukatoliki, ugaidi, kumchafua Slaa, n.k. na zote hizo zikashindwa.

Wana chadema mjue kuwa hii pia ni mbinu nyingine, na kwa hiyo kipindi hiki kinahitaji mshikamano zaidi.

People's --------------------

Ukomo wa uongozi ni ustaarabu wa demokrasia, vyama vyote CCM, CHADEMA, UDP nk, vyapaswa kuzingatia hili. Kwa kuwa limeibuka sasa ni vyema likazingatiwa, kuliko kulichukulia kama sehemu ya propaganda.
 
Ukomo wa uongozi ni ustaarabu wa demokrasia, vyama vyote CCM, CHADEMA, UDP nk, vyapaswa kuzingatia hili. Kwa kuwa limeibuka sasa ni vyema likazingatiwa, kuliko kulichukulia kama sehemu ya propaganda.

mbona tabu sana kuelewa....mzee six uliona wapi akilalamika walupoamua kwamba runataka spika mwanamke
 
mwambie mwigamba awaachie hao wajanja wachache lichama lao ya nini tabu
mie sioni ulazima wa kungangania vya watu atengeneze cha kwake tumfuate
Hata Mwigamba akiwaacha lakini msajili hawezi kukubali kuona katiba ya chama inachakachuliwa.

Katiba ya Chadema inasema uchaguzi ni kila baada ya miaka 5!, miaka mitano inaisga 2014!, mamlala ya extention mwisho ni mwaka 1!, hivyo ni 2015, baada ya 2015 bila uchaguzi Chadema itakuwa ni illegal party!, piga ua galagaza uchaguzi ni lazima 2014 not beyond, tena tutahakikisha tunashinikiza this time mwenyekiti ni lazima awe Prof. Safari, Arfi or "the one and only best you have!".

Huku sio kuingilia mambo ya ndani ya Chadema, bali kufanya maamuzi fedha zetu zitumikaje?.

Pasco.

Pasco, kwa nini 'umewapenda' saana hao uliowataja..??
This is wishful thinking my friend.
Viongozi wa Chadema watachaguliwa na Chadema wenyewe, na wala sio Pasco wa JF...!!!
Huna tofauti sana na 'boss' wako William Malecela anayetaka mtu wake ndio awe mgombea urais kupitia Chadema.
Yaani, wana CCM wanaacha chama chao kikioza, na badala yake wana-focus kwenye chama kingine..!!!!
Pole sana Pasco wa JF maana siku ikifika uchaguzi Chadema utafanyika, na hao uliowataja wakikosa uongozi, basi tutakukuta hospitali unauguza 'pressure' na 'stroke'..!!
BTW, sijamuona Ritz wala FaizaFoxy kwenye 'uzi' huu...!!
 
Last edited by a moderator:
Hata Mwigamba akiwaacha lakini msajili hawezi kukubali kuona katiba ya chama inachakachuliwa.

Msajili atafanya nini..??
Atawatungia katiba 'mpya' na kuwapelekea waitumie..??
Katiba ya chama inatokana na chama husika, na sio msajili..
 
Hata Mwigamba akiwaacha lakini msajili hawezi kukubali kuona katiba ya chama inachakachuliwa.

mwachie msajili usimfundishe kazi....kuna aliepiigwa risasi akiwa kazini na police mbele ya rpc akapandishwa cheo na hongera
.
au kuna walioiba pesa za epa wakaambiwa warudishe
 
Hata Mwigamba akiwaacha lakini msajili hawezi kukubali kuona katiba ya chama inachakachuliwa.

Ni katiba ya ajabu muundo wake uko hivi:
-Mtei (mchagga) hakuna ukomo wa M/kiti
-Makani (msukuma) M/kiti vipindi viwili
-Mbowe (mchaga) hakuna ukomo wa M/kiti

Msajili atafanya nini..??
Atawatungia katiba 'mpya' na kuwapelekea waitumie..??
Katiba ya chama inatokana na chama husika, na sio msajili..
Kuna vikao halali vinavyoruhisiwa kubadili katika lakini siyo kinyemela tunamuachia msajili afanye kazi yake.
 
Ni katiba ya ajabu muundo wake uko hivi:
-Mtei (mchagga) hakuna ukomo wa M/kiti
-Makani (msukuma) M/kiti vipindi viwili
-Mbowe (mchaga) hakuna ukomo wa M/kiti

Teh teh teh teh ! mama mbavu zangu ! misukule hawalioni hilo?
 
Kwanini kutaka kuharalisha jambo baya eti kwa sababu tu CCM na vyama vingine pia wapo kama sisi tulivyo. Maswali ya msingi ameuliza kaka Pasco: ni kwanini waliondoa kifungu kile; kwanini Dr. Slaa alituongopea juu ya uwepo au kutokuwepo kwa kifungu cha ukomo wa uongozi; ni kikao kipi rasmi kilifikia uamuzi wa kuondoa kifungu kile; kama tunahitaji ukomo wa u-Rais uendelee kuwepo, basi kwanini sisi hatuoni haja ya ukomo wa uongozi wa mtu katika nafasi ile ile uendelee kuwepo kama ilivyokuwa katika katiba ya 2004. Utetezi wa kutaka kuharalisha mambo ya kijinga unakera sana, wakati mwingine huwa natamani kama viongozi wa juu wa CHADEMA wawe watoto ili niwachalaze viboko; maana, imani kubwa niliyokuwa nayo kwao sikutarajia wafanye mambo ya kijingakijinga na kutoa utetezi wa uongo hapa jukwaani; mnakera sana kwa kweli. Nakerwa na wanaoijidai ni wapenzi zaidi wa CHADEMA kiasi cha kuja kutetea ujinga hapa jukwaani: mkikosea, kwanini kuona haya kukiri kosa na kuanza upya? Utetezi wa kijinga katika hoja nzito waachieni CCM waliokubuhu katika ulaghai kwa sababu tabia hiyo haiwafai ninyi mliojipambanua kama wakombozi. Endeleeni kufikiri kuwa sisi ni wajinga hatuwezi kupima ukweli ni upi. Tupatieni maelezo ya kina kuhusu hoja za Mwigamba, otherwise mkiri kuteleza kidogo. Mnakera sana.

Ni kweli mkuu,kama kiliondolewa kihuni ni makosa,twende kwenye vikao vya chama tukajadili.Lakini kwanini MaCcm ndiyo yanashikilia bango swala hili!?kama ni kwa nia njema kwanini wasianze na katiba yao!?hapo ndipo panatia mashaka kwenye hii hoja,na mleta mada kawamaliza wanabaki kubweka tu oooh mara hivi,mara vile,kwanini isiwe Cuf ambao toka nina miaka 10 mwenyekiti ni Lipumba na sharif!?mbona isiwe UDP vilevile ni Cheyo mpaka afe!?JIULIZE kabla ya kusombwa na upepo wa hayo mapuuzi,kwanini CHADEMA!?au mti wenye matunda............
 
Tatizo katiba ya chadema imechakachuliwa kuwa hakuna ukomo wa muda wa mwenyekiti bila ya vikao halali. Umeona tofauti yake hapo?

Back
Top Bottom