TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Makamuwa Mandela alikuwa on the ground!Mandela alifungwa miaka 27 Rubben Island akiwa kama mkuu wa ANC, je chama kilikufa??!!---- na alipofunguliwa ikawaje ?? kuwafunga viongozi wa vyama ni ishara kwamba saa ya ukombozi ipo karibu na hii ni; last kicks of a dying horse. CCM is a dying horse.