Katiba ya CHADEMA inasemaje chama kutokuwa na Mwenyekiti wala Makamu?

Ni sawa na hawapo tu mwenyekiti yupo mahabusu hatujui atatoboa au ndio guantanamo,makamo mwenyekiti kaamua kujichimbia ughaibuni kula bata kwa namna ya kipekee,je katiba inasemaje na ni kipindi gani chama kitakaa bila viongozi wakuu je!
Makamanda ni matumaini ya wanachama wenu na mashabiki wenu wanataka kujua uchaguzi wa kujaza nafasi utafanyika lini maana mambo yanakwama!
Hangaikia ya chama chako huko na magaidi wenu
 
Ni sawa na hawapo tu mwenyekiti yupo mahabusu hatujui atatoboa au ndio guantanamo,makamo mwenyekiti kaamua kujichimbia ughaibuni kula bata kwa namna ya kipekee,je katiba inasemaje na ni kipindi gani chama kitakaa bila viongozi wakuu je!
Makamanda ni matumaini ya wanachama wenu na mashabiki wenu wanataka kujua uchaguzi wa kujaza nafasi utafanyika lini maana mambo yanakwama!
Makamu akisha uwawa mchana kweupe na Mwenye kiti kabambikiwa shauri la ugaidi
 
Mandela alifungwa miaka 27 Rubben Island akiwa kama mkuu wa ANC, je chama kilikufa??!!---- na alipofunguliwa ikawaje ?? kuwafunga viongozi wa vyama ni ishara kwamba saa ya ukombozi ipo karibu na hii ni; last kicks of a dying horse. CCM is a dying horse.
Hapana
Kulikua na akina Oliver tambo in the 80s

tusidanganye
 
Ila kule Sauzi wakati ule wafuasi hawakuwa wakipiga vinanda, ilikuwa heka heka patashika ngua kuchanika kwa miaka yote 27.
Tokeni hata kidogo kwani chama kimeshikwa pabaya kama mnasubiri maamuzi ya mahakama hapo sawa.
 
Kwahiyo viongozi wote wa Chadema wamezuiliwa ndani??!!, akina Mnyika, Heche, John Mrema nk, hao nao wamezuiliwa ndani??.

Kumbuka Mandela aliitwa Gaidi na mhaini na makaburu historia inajirudia kwa Mbowe kwa kuitwa Gaidi. ----- siku zote Historia huwa inatoa mafunzo na wenye akili tu ndio hujifunza.
 
Kumbuka Mbowe ni mtuhumiwa tu na bado hajahukumiwa na kufungwa.---- matokeo yawe ya aina yoyote bado ishara halisi ya; a dying horse tunaiona.
 
Mandela na Mbowe kweli Ni watu wa kuwalinganisha?
Nyumbu hovyo kabisa.

Mandela alipigania uhuru na haki Mbowe naye ni hivyo hivyo, sasa kuna kosa gani kuwalinganisha??, mtu analinganishwa na mtu mwingine.

Nyie akina Hamza mmechanganyikiwa sana hadi mnaanza kuuana.🤣
 
Kwahiyo viongozi wote wa Chadema wamezuiliwa ndani??!!, akina Mnyika, Heche, John Mrema nk, hao nao wamezuiliwa ndani??.

Kumbuka Mandela aliitwa Gaidi na mhaini na makaburu historia inajirudia kwa Mbowe kwa kuitwa Gaidi. ----- siku zote Historia huwa inatoa mafunzo na wenye akili tu ndio hujifunza.
Mandela hakua kiongozi akiwa jela…. Na mleta mada kauliza without chair na Vice chair who is
Leading

jibu lilikua rahisi tu - kwamba chadema ina bionhozi

kuleta ya mandela ilikua siyo lazima
 
Ni lazima kwa case hii kwani historia ni mwalimu mkuu.
 
Then if ni historia basi umekosea

umesema mandela aliongoza akiwa jela… which is false

tambo led campaign enzi zile za kuwatoa akina sisulu na Mandela akiwa kiongozi wa anc

Mandela was not
 
Mandela alifungwa miaka 27 Rubben Island akiwa kama mkuu wa ANC, je chama kilikufa??!!---- na alipofunguliwa ikawaje ?? kuwafunga viongozi wa vyama ni ishara kwamba saa ya ukombozi ipo karibu na hii ni; last kicks of a dying horse. CCM is a dying horse.
Mbowe usimfananishe hata kidogo na Mandela. Mbowe ni gaidi. Mandela hakuwa.
 
Back
Top Bottom