Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Mwezi March mwaka huu CCM haikuwa na mwenyekiti wala Katibu. Na hakuna mtu aliyeanzisha uzi hapa kuwa ccm haina uongozi.Ni sawa na hawapo tu mwenyekiti yupo mahabusu hatujui atatoboa au ndio guantanamo,makamo mwenyekiti kaamua kujichimbia ughaibuni kula bata kwa namna ya kipekee,je katiba inasemaje na ni kipindi gani chama kitakaa bila viongozi wakuu je!
Makamanda ni matumaini ya wanachama wenu na mashabiki wenu wanataka kujua uchaguzi wa kujaza nafasi utafanyika lini maana mambo yanakwama!
Mkuu uwe na kiasi kidogo