Katiba ya CHADEMA inasemaje chama kutokuwa na Mwenyekiti wala Makamu?

Makamuwa Mandela alikuwa on the ground!
 
Nenda kakae na Msajili wa Vyama Judge Mutungi, muokoteze vifungu mpaka lumumba.
 
Mimi ninachowaomba Wazazi msituzalie watoto wa aina hii ya Simon sero. Wasiojua hata kutofautisha picha zilizopigwa na YASHICA na zile zinazotokana na CCTV cameras.
 
Nenda kakae na Msajili wa Vyama Judge Mutungi, muokoteze vifungu mpaka lumumba.
Je katiba inasemaje wafia chama wapo gizani na kuhoji wanaogopa kuitwa wasaliti kama zitto R.I.P Chacha wangwe!
 
Itahitajika Katiba Mpya... Je..!vyombo vya dola vitaruhusu wafanye kongomano la kukipatia chama chao katiba mpya..???
 
Single yenu ya ugaidi imekataa kuuzika
 
Then if ni historia basi umekosea

umesema mandela aliongoza akiwa jela… which is false

tambo led campaign enzi zile za kuwatoa akina sisulu na Mandela akiwa kiongozi wa anc

Mandela was not


Mimi sijasema Mandela aliongoza akiwa jela bali nimefananisha hali ya mandela alipokuwa gerezani na hali ya Mbowe akiwa kizuizini kwamba kama Vuguvugu la kudai uhuru na haki za mtu mweusi huko Afrika kusini hazikukoma wakati Mandela akiwa gerezani ni hivyohivyo hazitakoma kwa ama kumuweka mahabusu au kumfunga Mbowe, kama ilishindikana kudhoofisha harakati za kudai uhuru na haki kwa kumfunga Mandela ni hivyohivyo harakati za kudai haki hazitodhoofika kwa kumweka kuzuizini Mbowe, kama ANC licha ya hila na madhila waliyofanyiwa na makaburu tukaona ANC wakipata ushindi na haki ni hivyohivyo Chadema hatimaye licha ya dhuluma zote inazofanyiwa hatimaye itapata ushindi, siku zote haki ndio inayoshinda kinachotakiwa ni kufanya juhudi tu, tumeonyeshwa njia sio na ANC tu bali hata matokeo ya hivi karibuni nchini Zambia ni somo kwetu.

Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tz.
 
Wacha bange zako wewe ccm luwala.

Sasa hivi habari ya mujini ni kilio cha kuondokewa na mwana ccm gaidi.

Naona sasa nafasi yake utaichukua wewe maana mafunzo yenu mlikuwa wote
Kwani yule Hamza ni gaidi au alidhulumiwa hela zake?

Lipi ni lipi?

Mbona mibavicha mnajichanganya sana?
 


Hili swali ni rahisi na ndio maana majibu yake yakawa rahisi hivyo.

Katika dunia ya leo ukizingatia masuala ya tehama mtu unaweza kuuliza juu ya mahali ambapo mtu aliyekuwa hai juu ya uso wa hii dunia anawezaje kuongoza chama nk,??!!--- kwani huyo mwenyekiti wa chama hatembelewi huko kizuizini??, vipi huyo makamu wake naye hana mawasiliano na chama??!!.

Huyu ndugu hakuwa na nia ya kuuliza swali as per caption rather he intended to derogate, possibly he is a member of the green jearsey party as his remarks in the threads depict so.

Wameamua kumuweka kizuizini kwa tuhuma zisizokuwa na dhamana ili kuhafifisha juhudi za chama kudai haki zilizokuwa zikiongozwa na Mbowe sasa eti wanajitokeza na kuuliza katiba inasemaje juu ya viongozi kutokuonekana na hii ni baada ya kuona Chadema bado ni ngangari licha ya hizo hila zao mbaya.

That's why I flashback in the history of freedom and rights struggles to remind them that whatever efforts and forces they impose to undermine and frustrate struggles for rights, it is struggles for the rights which eventually wins, that is a historical law.

Mbaya zaidi watu wengi hawajui kwamba katiba ni sheria za wananchi wanatakaje waongozwe na sio sheria za Chama cha siasa au serikali jinsi inavyotaka kuwaongoza watu--- jambo hili watu wengi hawajui ndio maana Chadema ikawa inaweka makongamano kujulisha umma, kwakuwa umma ukijua itakuwa ni hatari kwa CCM ndipo CCM ikaamua kupitia serikali yake kufanya ilichofanya ili tu kulinda njaa za matumbo yao kwa muda mfupi na sio kuangalia hatima ya nchi kwa vizazi vyetu, katiba ndiyo sheria mama na katiba ikiwa mbaya na kwa bahati mbaya akaingia kiongozi MWEHU wananchi watajuta.
 
Siku ile Mandela anakatwa Soweto ilichimbika, Kwazulu haikubaki salama watu walikufa. Mbowe anahasa sana amejitahidi kuwafundisha kuacha uoga lakini hamjamwelewa, achaneni na vinanda kama huku kwetu kanisani tokeni vinanda basi. Mpaka mdole wa jicho umetovugwa unasema unaona dalili za punda kufa mzigo..
Kumbuka Mbowe ni mtuhumiwa tu na bado hajahukumiwa na kufungwa.---- matokeo yawe ya aina yoyote bado ishara halisi ya; a dying horse tunaiona.
 


Watu tungeamua kukinukisha hata hivyo vinanda vya kanisani leo hii mngepiga??!!------ sema baada ya kutafakari.
 
Najua huna akili Ila ukiamua kutuliza kichwa zinarudi haya rudi kasome tena harafu linanisha na majibu yako
 
Makamu Mwenyekiti Issa Said Mohammed yupo.... so anakaimishwa Uenyekiti for the mean time. Rejea hukumu ya kesi ya Akwilina, yeye ndio alikua acting Chairman.

So hakuna haja ya uchaguzi
 
Najua huna akili Ila ukiamua kutuliza kichwa zinarudi haya rudi kasome tena harafu linanisha na majibu yako


Akina Hamza mpo wengi, huwezi kuelewa nini nimeandika hadi utakapoondoa uhamza kichwani mwako.

Ma CCM ni shida sana nchi hii.
 
Good
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…