Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
unaiondoaje wakati watumishi wake wanawekewa kinga endapo wanafanya makosa ya kijinai?Kama wewe nifisadi jiandae lakini Kama nimtu wa kawaida uwe na amani mkuu lengo la hii Sheria ni
kuiondoa SERIKALI ILIYO NDANI YA SERIKA
Tutapotezanaili wawe huru 'kukupoteza'
Huyo mgongo unamuonea tu, haya mambo yanaanzia kwenye baraza la mawaziri,Simbachawene ndiyo Waziri wa hovyo kabisa kuwahi kutokea toka nchi imepata uhuru
Labda niseme Hawa wekewi Kingaunaiondoaje wakati watumishi wake wanawekewa kinga endapo wanafanya makosa ya kijinai?
Hapa pazuri kwa atakaye kuelewa,Kama wewe nifisadi jiandae lakini Kama nimtu wa kawaida uwe na amani mkuu lengo la hii Sheria ni
kuiondoa SERIKALI ILIYO NDANI YA SERIKA
Hilo ni fumbo teguaunaiondoaje wakati watumishi wake wanawekewa kinga endapo wanafanya makosa ya kijinai?
Pamoja sana kiongozi,naomba iwe hivyo na si vinginevyo,TISS iwe kwa ajili ya kulinda nchi na sio kikundi cha wahuni wachache ndani ya serikaliLabda niseme Hawa wekewi Kinga
isipokuwa wanapewa Uhuru wa kulinda Usarama wa taifa letu kwa ufanisi
Mfano kiongozi wa SERIKALI anapotaka kusaini mkataba mbovu ambao unaweza kuiletea hasara serikari
au madhara ya MDA mlefu Kama vile ushoga,mikataba ya uwejezaji ambayo itachukua MDA mlefu mfano miaka Mia moja kwa masrahi yake binafsi
basi Usarama wa taifa Wana weza kumshughurikia kiongozi huyo haraka Sana
Kwa kumuonya au kumchukulia hatua hapo hapo
lakini kukiwa Kuna Hari ya kwamba Usarama hawana Kinga ya kuwalinda kwenye majukumu yao basi Kuna wakati watajikuta wanashindwa kutekeleza majukumu yao kwa kuhifia kushtakiwa na hata kuhukumiwa
Ingawa niwajibu wao
Nina Imani kwamba Kama Usarama wangekuwa nakinga hiyo hata ile mikataba ya kishenzi isingesainiwa
Fuatilia kuhusu kifo Cha raisi wa U.S.A. bwana jf Kennedy utaona alifanywa Nini alipo enda kinyume na masrahi ya taifa la marekani kwa mtazamo yake binafsi utaelewa faida ya Kinga hii
Binafsi nimekuelewa kwenye hicho kipengele cha kuiondoa serikali iliyo ndani ya serikali.Kama wewe nifisadi jiandae lakini Kama nimtu wa kawaida uwe na amani mkuu lengo la hii Sheria ni
kuiondoa SERIKALI ILIYO NDANI YA SERIKA
"KILLING MACHINE "[emoji41]Labda niseme Hawa wekewi Kinga
isipokuwa wanapewa Uhuru wa kulinda Usarama wa taifa letu kwa ufanisi
Mfano kiongozi wa SERIKALI anapotaka kusaini mkataba mbovu ambao unaweza kuiletea hasara serikari
au madhara ya MDA mlefu Kama vile ushoga,mikataba ya uwejezaji ambayo itachukua MDA mlefu mfano miaka Mia moja kwa masrahi yake binafsi
basi Usarama wa taifa Wana weza kumshughurikia kiongozi huyo haraka Sana
Kwa kumuonya au kumchukulia hatua hapo hapo
lakini kukiwa Kuna Hari ya kwamba Usarama hawana Kinga ya kuwalinda kwenye majukumu yao basi Kuna wakati watajikuta wanashindwa kutekeleza majukumu yao kwa kuhifia kushtakiwa na hata kuhukumiwa
Ingawa niwajibu wao
Nina Imani kwamba Kama Usarama wangekuwa nakinga hiyo hata ile mikataba ya kishenzi isingesainiwa
Fuatilia kuhusu kifo Cha raisi wa U.S.A. bwana jf Kennedy utaona alifanywa Nini alipo enda kinyume na masrahi ya taifa la marekani kwa mtazamo yake binafsi utaelewa faida ya Kinga hii
Sidhani kama Katiba inasema na Rais ashitakiwe akiwa madarakani! Kama ndiyo hivyo, hawa ambao mmewahamishia kwenye Ofisi yake washitakiwe kwa nini?kuwa kila mtu akifanya kosa anatakiwa ashitakiwe kwa mujibu wa sheria bila ubaguzi
Tatizo ni mfano aliyetenda jinai na kuingiza nchi kwenye hasara akawa ni rais, makamu wake, waziri mkuu,jaji mkuu, spika au naibu spika! Watachukuliwaje hatua na kushughulikiwa wkt na wao wana Kinga!?Labda niseme Hawa wekewi Kinga
isipokuwa wanapewa Uhuru wa kulinda Usarama wa taifa letu kwa ufanisi
Mfano kiongozi wa SERIKALI anapotaka kusaini mkataba mbovu ambao unaweza kuiletea hasara serikari
au madhara ya MDA mlefu Kama vile ushoga,mikataba ya uwejezaji ambayo itachukua MDA mlefu mfano miaka Mia moja kwa masrahi yake binafsi
basi Usarama wa taifa Wana weza kumshughurikia kiongozi huyo haraka Sana
Kwa kumuonya au kumchukulia hatua hapo hapo
lakini kukiwa Kuna Hari ya kwamba Usarama hawana Kinga ya kuwalinda kwenye majukumu yao basi Kuna wakati watajikuta wanashindwa kutekeleza majukumu yao kwa kuhifia kushtakiwa na hata kuhukumiwa
Ingawa niwajibu wao
Nina Imani kwamba Kama Usarama wangekuwa nakinga hiyo hata ile mikataba ya kishenzi isingesainiwa
Fuatilia kuhusu kifo Cha raisi wa U.S.A. bwana jf Kennedy utaona alifanywa Nini alipo enda kinyume na masrahi ya taifa la marekani kwa mtazamo yake binafsi utaelewa faida ya Kinga hii
mkuu umeuliza vema 🙏🙏Tatizo ni mfano aliyetenda jinai na kuingiza nchi kwenye hasara akawa ni rais,makamu wake,waziri mkuu,jaji mkuu,spika au naibu spika! Watachukuliwaje hatua na kushughulikiwa wkt na wao wana Kinga!?