Tatizo ni mfano aliyetenda jinai na kuingiza nchi kwenye hasara akawa ni rais,makamu wake,waziri mkuu,jaji mkuu,spika au naibu spika! Watachukuliwaje hatua na kushughulikiwa wkt na wao wana Kinga!?
mkuu umeuliza vema 🙏🙏
Hicho unacho kiuliza ndicho kinacho endelea sasa hivi
Tumeshuhudia mauwaji ya Wana siasa Wana harakati wakiuwawa,kudhalilishwa. nk.
Tumeshuhudia pia matumizi mabaya ya madaraka katika nyanja mbalimbali kwa viongozi wetu
Kama kupola mali,alidhi za Wana inchi kubambikia kesi watu na UFISADI wa kutisha
Tumeona bunge letu halichukui hatua na hata wakichukua hatua basi nihatua ambazo Zina chembe chembe za kuwa Linda mafisadi
Tumeshuhudia pia hujumu za chaguzi mbalimbali kupitia vyombo vya habari hujuma ambazo zingeweza kuharibu kabisa amani ya inchi yetu Tanzania Kama mungu angetaka iwe hivyo lakini tuna shukuru hakutaka itokee
lakini pamoja na hayo yote hatuoni hatua zikichukuliwa juu y a harifu hizi mafisadi bado wapo, drugs dealer bado wapo, killers bado wapo
Yote nikwasababu chombo kinacho simamia Usarama wa taifa hakipo huru kumkamata Samia akikosea, au kikwete akikosea na hata pm akikosea"
Lakini so kumkamata tu nahata kumfanya apoteze wadhifa au kumtowesha kabisa
Hivyo lengo la huu mswada ni kuyafuta haya ya pm,jaji president, sjuiNani?
kwamaana kwamba Kama kiongozi yeyote katika ngazi yoyote
atafanya Jambo ambalo linatishia Usarama wa taifa kwanamna moja au nyingine
wana haki ya ku deal nae ili mladi tu taifa Liwe sarama awe Samia mpaka huku kwa wenye viti wa vijiji lazima wa chukuliwe hatua mkuu
Usisahau Kuna sababu inayo msukuma raisi kufanya hivyo mkuu