Katiba ya Tanzania inatamka watu wote kushitakiwa kwa mujibu wa sheria. Kwanini CCM inataka kuwapa kinga TISS?

Kwa ujumla Kuna na mna walivyo fisadi kupitia vyeo vyao au nafasi zao japo Mambo mengi haya wekwi wazi

Si rahisi serikali kuku weka kwenye danger zone Kama hauji husishi na kuharibumasrahi ya serikali yenyewe
Fikilia mama au mtoto wako yupo hospital amezidiwa

Sawa zipo huduma zote zipo doctor anakuambia sita weza kumtibu mama Wala mtoto wako mpaka niongezewe mshahara

Wakati huo mgonjwa wako anafurukuta aokoe nafsi yake lakini dactari haoni hofu Wala huruma mpaka wagonjwa wako Wana kufa kinyama uta mfanyaje dactari huyo?

Lakini pia Jamba zi anaingia kwako anapokonya chakula Cha watoto zako unatafta namna ya kumdhibiti lakini mtoto wako mkubwa anaenda kuku shtaki kwa barozi kwamba una mnyanyasa mgeni wako

Na anafika mbaali zaidi kwa kumpa mbinu jambazi za kuku dhibiti wewe ili jambazi azidi kuiibia kuinyanyasa na hata kuchukua maisha ya familia yako he uta mfanya Nini mtoto huyo

Mkuu Usarama wa taifa unanyanja nyingi na usinge kuwepo hapa tulipo pangekuwa hapa kaliki
 
Akikufanya lolote haruhisiwi kushtakiwa (hata kama mna bifu za kuchukuliana bar maid )
 
Akikufanya lolote haruhisiwi kushtakiwa (hata kama mna bifu za kuchukuliana bar maid )
Hapana wanakinga juu ya maswala ya taifa so binafsi mkuu

Hilo la bar maid ni swala binafsi Ila kuuwa mtu aliye taka kumuuwa raisi au waziri au raia asye na hatia na hata kuatalisha amani ya inchi bila kupewa ruhusa inakuwa hakuna shida
Tujifunze kuishi kwa kufuata sheria
 

Sasa kama tuko nae mtaani alafu ikatokea ugomvi kati yako na yeye akatumia nguvu ya kazi kukuarest akaenda sema "nilikuwa namfanyia kazi"huoni sheria bado inamlinda?

Mpalka sasa naona kama ni vita imetangazwa maana kuana raia watakao onewa maanaa wengine wanafanya hii kazi kwa sifa
 
Wake wameapa kuwa Linda laia wema isipo kuwa wabaya na nivigumu kufanya hivyo Kwani Kuna nidhamu za kikazi au shelia za kikazi zinazo wazuia kufanya hivyo
 
📌Hilo la bar maid ni swala binafsi Ila kuuwa mtu aliye taka kumuuwa raisi au waziri au raia asye na hatia na hata kuatalisha amani ya inchi bila kupewa ruhusa inakuwa hakuna shida
Tujifunze kuishi kwa kufuata sheria 📌
 
📌Hilo la bar maid ni swala binafsi Ila kuuwa mtu aliye taka kumuuwa raisi au waziri au raia asye na hatia na hata kuatalisha amani ya inchi bila kupewa ruhusa inakuwa hakuna shida
Tujifunze kuishi kwa kufuata sheria 📌
Hawana mipaka anakuua na unasinguziwa kesi ingine. Tunajuana watanzania. Hiyo sheria ni ya kifedhuli na ni aibu.
 
Ila Wanangu wavaa suti kwenye jamii mnaonekana ni watu waovu sana, mnao tumika na wanasiasa kupata 10% ya madili yao.

Kuna haja kubwa sana ya kufanya reforming hii taasisi
 
Hakika mkuu hapo ndipo tatizo linapo anzia Sasa unge shauri Nini kifanyike kusudi kuya maliza haya

Kwani wote lengo letu ni moja kulijenga taifa lenye misingi Bora ya kiutawala🙏🙏
 
Hawana mipaka anakuua na unasinguziwa kesi ingine. Tunajuana watanzania. Hiyo sheria ni ya kifedhuli na ni aibu.
Yote yapo lakini unadhani Nini hasa lengo la Sheria hii kwa mtazamo.wako?
 
Hiyo imetungwa ili lissu akiwataja wasiojulikana wasishtakiwe
 
Hizo sheria ni kwa ajili ya watawaliwa tu kufuata? Halafu sio siri mkuu una kiwango duni sana cha uandishi. Na si ajabu ww unaweza kuwa ni afisa wa usalama. Kama una uwezo finyu hivi wa kiundishi l, sidhani hata kama utaweza kufanya hiyo kazi ya usalama kwa ufanisi, zaidi ya kuagizwa na viongozi kuwakomoa wasiowapenda.
 

Exactly.
 
Wengi wao maafisa kichwani watupu tu.
 
Kama wewe nifisadi jiandae lakini Kama nimtu wa kawaida uwe na amani mkuu lengo la hii Sheria ni

kuiondoa SERIKALI ILIYO NDANI YA SERIKA
Uongo,
Kwanza hao unaowaita kuwa ni 'Mafisadi' ndio ma-referees wazuri wa ajira za huko tiss. Sasa watawezaje kuwashughulikia "maboss" wao waliowapatia ajira??
 
TISS imeundwa kukiuka Katiba.
Pamoja na Sheria za Emergency,zote zina lengo la kukiuka Katiba.
Kwa sababu unaposema utamkamata mtu akifanya jambo baya,wakati hayo mambo mabaya hayajaainishwa vizuri, wakati hayo mambo mabaya yanaamuriwa na wewe in an arbitrary way,huo ni ukiukaji wa Katiba.
Makelele ya Katiba mpya in reality ni makelele dhidi ya TISS.
Tunachoita hitilafu katika Katiba yetu,actualy ni dosari katka utendaji kazi wa TISS,na hizi arbitrary actions za Polisi.
Katiba nzuri inaandikwa,halafu baadaye inaletwa National Security Act na Emergency Powers Act kuipinga chenga Katiba.
Yesu alisulubiwa kwa kuongea ukweli.
Katiba maana yake,yale maadili yaliyo mema yanapaswa kuwa etched in stone ili watu waweze kuzungumza kuhusu haki,usawa,uhuru bila hofu ya kusulubiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…